Mtu anakwambia kabisa eti mi bajeti yangu ya harusi haitakiwi kuwa chini ya milioni 30 kwa watu nnaofahamiana nao lazima wanichangie!Unaoa ili uwafurahishe watu? Si uoe tu kimpango wako kuliko kutegemea mifuko ya watu. Mbona simpo tu kuoa? Vuta weka ndani, imetoka hiyo! Sheria ya ndoa inatambua hiyo ndoa ya kimya kimya
Kabisa sema watu wanajizima data wanataka kuinuka kupitia michango ya harusiNi aibu kufanya sherehe ya harusi kwa kutegemea michango. Andaa mwenyewe bajeti ya kulisha watu wako utakaowaalika. Kama huna bajeti nenda kanisani/msikitini/bomani utafungiwa tu ndoa ya gharama unayoimudu
Ni kweli watu wengi wanafanya harusi kwa mashindano ili kufunika harusi za wenzake aonekane yake imetikisaMtu anakwambia kabisa eti mi bajeti yangu ya harusi haitakiwi kuwa chini ya milioni 30 kwa watu nnaofahamiana nao lazima wanichangie!
Imekua ni km mashindano, kisa aliona mwenzie kafnya sherehe ya gharama.
Baada ya mwaka wanaachana.
Halafu wana sherehe mara 3.Watu sikuhizi wanaweka dau maalumu laki moja kuendelea
Wapuuzi hao wanataka kujinufaisha kupitia hizo harusi zao . Hakuna cha kuchanga kila mtu acheze mechi zakeHalafu wana sherehe mara 3.
Usiku wa vyombo sijui.
KP
Harusi michango.
Wtf!?
Watu wana complicateUnaoa ili uwafurahishe watu? Si uoe tu kimpango wako kuliko kutegemea mifuko ya watu. Mbona simpo tu kuoa? Vuta weka ndani, imetoka hiyo! Sheria ya ndoa inatambua hiyo ndoa ya kimya kimya
nilishaachaga kuwa mwenyekiti wa kamati za harusi, unachangisha michango mikubwa halafu watu wanaachana kikumambuzi, inaudhi sanaMtu anakwambia kabisa eti mi bajeti yangu ya harusi haitakiwi kuwa chini ya milioni 30 kwa watu nnaofahamiana nao lazima wanichangie!
Imekua ni km mashindano, kisa aliona mwenzie kafnya sherehe ya gharama.
Baada ya mwaka wanaachana.
Ndoa inaweza ikakamilika kanisani harusi sio lazmaKuna wachungaji waliishasema waojai wasipate stress wapi watapata michango, wako tayari kufungisha ndoa bila sherehe
Nimekausha this time,Wapuuzi hao wanataka kujinufaisha kupitia hizo harusi zao . Hakuna cha kuchanga kila mtu acheze mechi zake
Hhhhh hio kaliNimekausha this time,
Mbaya zaidi si ndio tunaozesha.
Yaani tunamchangia mwanetu mara 3 akapigwe miti.🤔
Trust me ni wachache watamchangiaNina kadi za kumwaga, nafikiria kutoa nusu nusu, robo robo au nisitoe kabisa michango ya harusi imekuwa kero. Kuna mfanyabiashara mmoja ni mtoaji sana wa michango ya harusi kasema amechangia sana harusi za watu, ole wake aliyemchangia asitoe kwenye harusi ya mwanae naye itakuwa ndiyo mwisho wa kuchangia endapo hatachangiwa kikamilifu
Mbaya zaidi ukiwapa ukweli kuwa una kadi 7 ndani hawataki kukubali. Jibu lao ni 'HUTAKI KUCHANGIA'. Hapo ndipo panapochoshahapa nilipo nina michango 7 ya harusi inanisubiri na ni mwezi wa 10 na 11, kuna mwingine jana kaniambia mwanae anamaliza la 7 anafanyiwa mahafali, katoa kama taarifa lkn nyuma ya pazia najua anataka nn.
Oppps ukubwa unakuja na mengi
Maana yake michango si michango tu ya hisani ila ni deni lililojificha. Hii inakata mahusiano sana ktk jamii.Nina kadi za kumwaga, nafikiria kutoa nusu nusu, robo robo au nisitoe kabisa michango ya harusi imekuwa kero. Kuna mfanyabiashara mmoja ni mtoaji sana wa michango ya harusi kasema amechangia sana harusi za watu, ole wake aliyemchangia asitoe kwenye harusi ya mwanae naye itakuwa ndiyo mwisho wa kuchangia endapo hatachangiwa kikamilifu
aaaah nime archive magrupu yte ya michango na sijui ni nan aliyewaambia mwisho wa mwaka ndio msimu sahihi wa kuoaMbaya zaidi ukiwapa ukweli kuwa una kadi 7 ndani hawataki kukubali. Jibu lao ni 'HUTAKI KUCHANGIA'. Hapo ndipo panapochosha