The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,938
- 4,964
sasa huku mjini michango ni 100k , hamna hamna 70k , wife nishamwambia akitoa ahadi ya mchango wowote wa harusi bila kunishirikisha ajue atawajibika mwenyeweMimi nachangia kwa sababu ya mke wangu , ila mimi sijawahi kuomba mtu mchango ...Huku kwetu , zimeanza na mpaka mwezi wa 12 sitakuwa nyingi. Ila michango yao rate ni 30k , unakula mpaka unakimbia .
Ishu ni za mikoani kama Dar , nauli kubwa kuliko hata mchango.
sahivi na ignore tu, bora lawama halafu kitu kingine nilichokuja gundua watu hawajui kuwa sio wao pekee wanaoomba michango hiyo. Mwingine unamwambia saivi nimebanwa sitoweza shiriki lakini nakuuna mkono kwa hichi kidogo anaona kama unamkataa kumbe sio. Mwezi huu ofisini nimechangia hela kwa ajili ya sherehe ya kustaafu mtumishi mwenzetu, wiki iliyopita binamu yangu mwanae anamaliza darasa la 7 nikaona isiwe kesi nikatuma hela, ofisini kuna wadada wa 4 wanaolewa mwezi wa 10 na wa 11, mmojawao hapo npo nae kitengo/ofisi moja hivyo hata sapoti kwake inakuwa kubwa, kuna mtumishi mwenzngu mwingine yupo makao makuu naye anaoa, kuna dada nimesoma nae primary nimemchangia leo, kuna kaka nimesoma nae advance jana kanikumbushia mchango wake , kuna dada nilisoma nae chuo naye anataka mchango wa ndoa yake pamoja na zawadi kama darasa. Juzi mpwa wangu mwanae anamaliza la 7 , kanipa taarifa sijataka hata kumjibu.Hao wote jumla wanafika 10 au 9, michango yao ni 100k au 70k , hamna hamna hapo nikisema nishiriki kote 700k lazima initoke .Kazi ipo ukichangia michango yote hiyo hata account yako si ita shake
hali tete michango mingi na vipato na majukumu hatufananiMbona mna hasira sana,kweli jua linawawakia 😀
Hio ni michango ya harusi tu inawaliza raia 😀😀
Aisee hiyo kalisahivi na ignore tu, bora lawama halafu kitu kingine nilichokuja gundua watu hawajui kuwa sio wao pekee wanaoomba michango hiyo. Mwingine unamwambia saivi nimebanwa sitoweza shiriki lakini nakuuna mkono kwa hichi kidogo anaona kama unamkataa kumbe sio. Mwezi huu ofisini nimechangia hela kwa ajili ya sherehe ya kustaafu mtumishi mwenzetu, wiki iliyopita binamu yangu mwanae anamaliza darasa la 7 nikaona isiwe kesi nikatuma hela, ofisini kuna wadada wa 4 wanaolewa mwezi wa 10 na wa 11, mmojawao hapo npo nae kitengo/ofisi moja hivyo hata sapoti kwake inakuwa kubwa, kuna mtumishi mwenzngu mwingine yupo makao makuu naye anaoa, kuna dada nimesoma nae primary nimemchangia leo, kuna kaka nimesoma nae advance jana kanikumbushia mchango wake , kuna dada nilisoma nae chuo naye anataka mchango wa ndoa yake pamoja na zawadi kama darasa. Juzi mpwa wangu mwanae anamaliza la 7 , kanipa taarifa sijataka hata kumjibu.Hao wote jumla wanafika 10 au 9, michango yao ni 100k au 70k , hamna hamna hapo nikisema nishiriki kote 700k lazima initoke .
Bado kuna misiba kama miwili ya staff&schoolmate kufiwa na wazazi nimechanga
Bado kuna wale wanaojipost wame engage naogopa hata kuwapa hongera nisije ombwa mchango
Kama ni mambo yako lazima wakuadd,hata wewe si ulikula michango yao?Mimi nimebadili settings tu mtu asiniadd kwenye group lake la sherehe bila kunitaarifu! Hapa nna groups mbili za bridal shower mbili za send off moja la harusi na jingine la baby shower🤦🏽♀️
nilivyo mute hahaa mostly ni schoolmates sherehe haziishi🙌🏾
Sijawahi kuwa na hizo shughuli wala kuchangiwa basi tu mtu anaona utamfaa sio mpaka yawe mambo yako!Kama ni mambo yako lazima wakuadd,hata wewe si ulikula michango yao?
Ulichangiwa na wewe changia,hakuna cha bure
Hapo umefanya la maana umeepuka mambo mengiMimi nimebadili settings tu mtu asiniadd kwenye group lake la sherehe bila kunitaarifu! Hapa nna groups mbili za bridal shower mbili za send off moja la harusi na jingine la baby shower🤦🏽♀️
nilivyo mute hahaa mostly ni schoolmates sherehe haziishi🙌🏾
Shikamoo morioHakuna namna serikali inaweza ingilia kati mambo ya michango ya harusi iwe kosa la jinai?
Hapo utachomokaje mdau? 😄sahivi na ignore tu, bora lawama halafu kitu kingine nilichokuja gundua watu hawajui kuwa sio wao pekee wanaoomba michango hiyo. Mwingine unamwambia saivi nimebanwa sitoweza shiriki lakini nakuuna mkono kwa hichi kidogo anaona kama unamkataa kumbe sio. Mwezi huu ofisini nimechangia hela kwa ajili ya sherehe ya kustaafu mtumishi mwenzetu, wiki iliyopita binamu yangu mwanae anamaliza darasa la 7 nikaona isiwe kesi nikatuma hela, ofisini kuna wadada wa 4 wanaolewa mwezi wa 10 na wa 11, mmojawao hapo npo nae kitengo/ofisi moja hivyo hata sapoti kwake inakuwa kubwa, kuna mtumishi mwenzngu mwingine yupo makao makuu naye anaoa, kuna dada nimesoma nae primary nimemchangia leo, kuna kaka nimesoma nae advance jana kanikumbushia mchango wake , kuna dada nilisoma nae chuo naye anataka mchango wa ndoa yake pamoja na zawadi kama darasa. Juzi mpwa wangu mwanae anamaliza la 7 , kanipa taarifa sijataka hata kumjibu.Hao wote jumla wanafika 10 au 9, michango yao ni 100k au 70k , hamna hamna hapo nikisema nishiriki kote 700k lazima initoke .
Bado kuna misiba kama miwili ya staff&schoolmate kufiwa na wazazi nimechanga
Bado kuna wale wanaojipost wame engage naogopa hata kuwapa hongera nisije ombwa mchango