Tusizuge wana Yanga SC wengi ( 99% ) hawana Furaha na Matokeo ya Marudiano leo

Ni sawa na kusema yanga walifungwa na simba kwa kuzidiwa kumbe wenzako walilenga robo fainal wakakuacha udemke kwa mkapa matokeo yake
Ivi Simba na Yanga Nan alikua na kibarua kigumu kumzid mwenzie?
Ile game mlizidiwa kimbinu huo ndio ukweli .
Ukitaka kuamin hilo angalia huyo profeseli wenu aliwaingiza wachezaj wote hakubakiza hata sub Moja lakin aligonga mwamba Kwa robertinyo.
Kuna muda muwe mnakubali ukweli pale mnapozidiwa na mpinzan wenu.
Na hata Simba na Yanga wakikutana fainal ya FA ,bingwa ni Mnyama hilo halina ubishi ,Nabi Hana jeur Kwa huyo Mzee wa kibrazil maana ashampiga Zaid ya mara tatu akiwa na timu tofaut tofaut ,Ile game angekalia usukani mgunda ni wazi mngeshinda maana mgunda amezidiwa mbinu na Nabi.
Kuingia nusu final shirikisho kusiwapumbaze kias hicho had mjione ni miungu watu.
Nyongeza hakuna mechi Yanga aliitaman kama ile ya derby maana alitaka atangazie ubingwa kibabe Kwa mnyama na mnyama aligoma hiyo dharau .
 
YOUNG AFRICANS SC TO THE SEMI-FINAL 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
 
Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 )

Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo mliyoyapata hamkuyatarajia kamwe na ndiyo maana Mashabiki wote wa Yanga SC waliokuwa Uwanjani wanamlaumu mno Kocha Mkuu wenu Nabi kwa Kubeti Kupanga Wachezaji wasio Wazoefu katika Mechi muhimu kama hii ya Leo tena ikichezewa Nyumbani nchini Tanzania.
Sema mkeka wako umechanika
 
mimi pia sina furaha ila hakuna mwanayanga anamchukua kocha

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 )

Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo mliyoyapata hamkuyatarajia kamwe na ndiyo maana Mashabiki wote wa Yanga SC waliokuwa Uwanjani wanamlaumu mno Kocha Mkuu wenu Nabi kwa Kubeti Kupanga Wachezaji wasio Wazoefu katika Mechi muhimu kama hii ya Leo tena ikichezewa Nyumbani nchini Tanzania.
Ni kweli!? Kwahiyo!?
 
Hata mimi jana nilikuwa na natumaini makubwa ya kushinda hata goli mbili.
 
Wakati nilipo usiku kucha sijalala watu wamekesha na vigodoro full shangwe
Yani unasikia tu wananchiiiiiii
 
Kam rivers wangekuwa full squard kule nigeria hali ingekuwa mbaya sana hapa taifa,following the home results.
 
Back
Top Bottom