Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kwa nini mlimuwekea waziri kauzibeUmeambiwa kujadili wewe unaleta mipasho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mlimuwekea waziri kauzibeUmeambiwa kujadili wewe unaleta mipasho
1. Labda huyo waziri hana hadhi ukikumbuka alishawahi kuambiwa: "No ses" na Bi kizomkazi pale propesa alipokataa sukari ya uganda isije bogo.Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa....
- Waziri ambaye ameteuliwa na kuapa mbele ya Rais, na ambaye ni mjumbe wa Baraza La Mawaziri ambalo maamuzi yake hayahojiwi na chombo chochote nchini, ana hadhi kiwango gani ndani ya serikali?
- Waziri na Rais wanawasiliana ama kuonana vipi ilihali Rais ndiye amewateua kama wasaidizi muhimu kusimamia sekta zote nchini?
- Wasaidizi wa rais wana mamlaka gani kumzuia Waziri kuonana na rais pale anapoomba kufanya hivyo?
- Ikulu yetu ina utaratibu gani wa kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuonana ama kujadiliana ama kuwasiliana kwa karibu na wasaidizi wake muhimu na wakuu wa sekta zote nchini? yaani Mawaziri na manaibu wao..
- Kauli ya Waziri Mkenda inatuma ujumbe gani kwetu sisi wapigakura ambao hapo Oktoba tutatumia vichinjio vyetu kuchagua viongozi wa nchi?
Karibuni tujadili
Kuna katibu wa CCM wa kata fulani huko Kusini, aliniomba nimfanyie mpango kijana wake aliyemaliza Shahada ya Elimu mwaka 2019 ili apate ajira serikalini, nikamwambia amwambie "Mama Mitano Tena" amsaidie.Kuna dogo mmoja kanambia vitu vya kuhuzunisha na vimenifikirisha..
Kwenye hizi interview za ualimu ana division one o- level na a-level na chuo gpa 3.6 kwenye pepa za utumishi not selected
From credible source mitiani ya ualimu utumishi inavuja na watoto wa maskini Hawa penyi kwenye saili za uonevu..
Pole kwa WATANZANIA wa Hali ya Chini..
Sahihi mkuu.Kuna katibu wa CCM wa kata fulani huko Kusini, aliniomba nimfanyie mpango kijana wake aliyemaliza Shahada ya Elimu mwaka 2019 ili apate ajira serikalini, nikamwambia amwambie "Mama Mitano Tena" amsaidie.
WanaCCM hawajui kuwa shida za Tanzania zinazoendelezwa na CCM hazibagui wana CCM, au wa upinzani au asiye na chama!!
Ulinzi na usalama wa IKULU NA RAIS uko mikononi mwa walinzi wake na si yeyote yuleKwa nini mlimuwekea waziri kauzibe
Clear very clearRais mwenyewe magumashi. Unategemea nini?
Katibu wa Rais hana cheo lakini huyu wa sasa ana nguvu sana
Ulinzi na usalama wa IKULU NA RAIS uko mikononi mwa walinzi wake na si yeyote yule
Aliyelalamika pia ni sehemu ya taasisi ya uraisYes analibwa na walinzi wake. Lakini walinzi sio kazi yao kuamua nani aonane na Rais. Kuna namna Ikulu inavyofanya kazi.
Uraisi ni taasisi kubwa na yenye maslahi mapana sana
Aliyelalamika pia ni sehemu ya taasisi ya urais
Ni mmojawapo wa wasaidizi wa rais ingawa hakai wala kufanyia kazi IkuluAnayelalamika sio sehemu ya taasisi ya uraisi. Ni waziri wake.
Ikulu si sehemu yake ya kazi
Ni mmojawapo wa wasaidizi wa rais ingawa hakai wala kufanyia kazi Ikulu
Waziri yupi sasa???Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa....
- Waziri ambaye ameteuliwa na kuapa mbele ya Rais, na ambaye ni mjumbe wa Baraza La Mawaziri ambalo maamuzi yake hayahojiwi na chombo chochote nchini, ana hadhi kiwango gani ndani ya serikali?
- Waziri na Rais wanawasiliana ama kuonana vipi ilihali Rais ndiye amewateua kama wasaidizi muhimu kusimamia sekta zote nchini?
- Wasaidizi wa rais wana mamlaka gani kumzuia Waziri kuonana na rais pale anapoomba kufanya hivyo?
- Ikulu yetu ina utaratibu gani wa kumsaidia rais kutekeleza majukumu yake ikiwemo kuonana ama kujadiliana ama kuwasiliana kwa karibu na wasaidizi wake muhimu na wakuu wa sekta zote nchini? yaani Mawaziri na manaibu wao..
- Kauli ya Waziri Mkenda inatuma ujumbe gani kwetu sisi wapigakura ambao hapo Oktoba tutatumia vichinjio vyetu kuchagua viongozi wa nchi?
Karibuni tujadili
Ajipange vizuri,historia ya mitihani ya nyuma haitomsaidiaKuna dogo mmoja kanambia vitu vya kuhuzunisha na vimenifikirisha..