Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Acha panic mh. Mbunge... vitu vya kuongea vipo vingi sana sio lazima wananchi waje kuwaletea vya kusema
 
Dr. Kimei . Huyu toka wazee wa kichaga wamshukie kwa kuwaita wachaga kama wapenda magendo, hajawahi kufungua mdomo tena bungeni. Na 2025 tunampiga chini akafanye yeye hayo magendo.
 
Hahah umenikumbusha Richard ndasa,RIP
Wakati nlipokuwa napiga naye ulabu anakuambia uchaguzi ukikaribia yeye ndy anarudi jimboni [emoji1]

Ova
Huyu mwamba alikua anapelekaga twanga pepeta band huko kwao usukumani wakati wa campaign.
 
Mbunge wa musoma mjini,haongei wala apambanii Jimbo lake,mpiga dili ,hakuna stendi ya kisasa wala soko a kisasa,rais Samia alifanya ziara mkoani na kuwatupia lawama viongozi kua pesa zinaletwa nyingi wanashindwa
kuzisimamia,ni kilaza Fulani hivi
 
Wa Bukoba Vijijini Rwegasila
 
Ila hata hivyo niafadhari kukua kimya kuliko kusimama ukaongea kama yule aliyeongelea Simba kufungwa gori 5 kwamba kuna arufu rushwa lkn jimboni kwake kunamatatizo kibao hayaongelei
 
yule wa bukoba mjini
Mbona yuko vzr tu kuliko waliopita si unaona siku hiz bukoba miradi inatekelezwa...
Wanajenga stendi, barabara ya niia nne, kupanua hospital ya mkoa, taa za barabarani na za kuongoza magari , upanuzi wa bandari ya bukoba nk...

Labda yule wa Bukoba vijijini ndo hovyo ila huyu wa mjini unamuonea tu...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…