Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Kuna Oran Njeza huyu nahisi kazi yake nikugonga meza
Siyo kweli, wewe hufuatilii bunge. Njeza anaongea halafu hata makala maalum za TBC na ITV huwa wanamfuata kkwa maoni kwenye issues za kilimo na fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…