jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Utawala wa ummaBachelor ya public administration inahusika na nini hii jmn...
Maana dogo kaing'ang'ania kweli hapo UDSM...
Mathematics....inakazi. Jiongeze kwenye IT na mambo ya programming. Angalia wapi kuna upenyo.Bachelor of Science in Mathematics
Akili zangu zote zimemwagikia hapo, nimebaki mweupe, mwenye stress, halafu waajili wanasema ndo kozi gani hiyo.
Mtaani nako wananichanganya tuu, maana kila mtu anauliza, "kwani hujapata kazi tuu, mbona ulikuaga na akili sana"
Kwaiyo anaenda kuwa Afisa Mtendaji wa Kata au kitu gani???Utawala wa umma
Not true.Laboratory science
Si ndo umma wenyewe huoKwaiyo anaenda kuwa Afisa Mtendaji wa Kata au kitu gani???
unasoma theology ili ukaajiriwe?. utasota sana mtaani na cheti chako.Theology
Kozi zipi ambazo sio za kufutwa,ni kozi gani ambayo una uhakika zama hizi ukitoka unakutana na ajira?soma ili akili ifunguke,ukiingia mtaani hiyo elimu itakusaidia kupamabana na hali utakayokutana nayo,tofauti na usingepata hiyo elimu...Hizi kozi zilipaswa kufutwa kabisa.
Laboratory science inatoa ajira wapNot true.
SUA [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji3516]
AKWAKACHA!!!!
Unadhani rahisi hivyo.unasoma theology ili ukaajiriwe?. utasota sana mtaani na cheti chako.
jizime data, ingia mtaani, anza kububiri huku ukitumia maarifa uliyopata kwenye masomo yako ya theology. wafanyie watu miujiza ya uongo na ukweli.
mahubiri yako yaegemee kuhusu mahusiano ya ndoa, uchumba na upatikanaji wa kipato cha mtu mmoja mmoja. hili ndio eneo ambalo utawapata wengi.
siku za kwanza baadhi ya watu watakuona chizi, watakudharau. ila miaka miwili au mitatu baadae utakuwa unamiliki kanisa lako. utajiri utakuwa unacheza kwenye mlango wako.
Kwani mkuj wizara ya maliasili na utalii si wanatakiwa waajiri wasomi wa kozi hizi za Tourism managementTourism management ajira zake serikalini ni adimu ila ukiwa njema kiuchumi unajiajiri kwa kufungua kampuni ya tour.
ulishawahi kujaribu?.Unadhani rahisi hivyo.
Walimu wa masomo ya HKK sijui Language sijui Historia ajse utasubiri sana BoraKatika uzi huu tunataka kuzifahamu kozi ambazo hazitoi ajira kwenye taasisi binafsi na serikalini.
Hivyo kama una orodha yako uwanja ni wako sasa tutajie kozi hizo.
Hapo chemistry watoe, wana fursa kuzidi wenzao wote hao.Bsc physics, chemistry, biology , mathematics hata sijui ukisoma unakua nan
Hivi bado kuna watu wanasoma ualimu wa sanaa??Walimu wa masomo ya HKK sijui Language sijui Historia ajse utasubiri sana Bora
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Yaan serious mtu unaenda soma roboticsRobotics. Ila hiyo ni Mbele tu sio Afrika