Tutakaoibuka valentine single tujuane hapa

Hakika,maana kuna muda i feel differ so naamua kutochangamana na watu
Kua Makin kushare hizi info na wanao,. Inaweza waathiri kisaikolojia wakaja fata ulikopitia.

Jitahidi wajenge wawe na positive attitude na mahusiano na ndoa.

Hii kitu usipokaa vizu huwa inatembea kizazi mpk kizazi[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa bibi yangu mzaa mama but shida ni kwamba naambiwa na mama sikupendwa tangu ningali tumbon coz hawakutarajia mama kuzalia home so alipigwa mara kwa mara na wazaz pamoja uncles .Alibeba mimba akiwa na 16
Mama ako nae alikosea Sana kukwambia hizo habar,
Uskute hata kashkash na wanaume zake alkua anakusimulia.

Huenda
Imekuathiri kisaikolojia hata kuishi na wanaume unaona tabu.

Hebu jaribu kuitafakar Hii kitu dada angu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafs namm Namuona hivyo.
Ashaathirika kisaikolojia, na mtu wa hivi akikasirika Ni mbaya zaidi.

Anahitaji counseling uyu dada etu[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo ivo mkuu
Mungu akutie sana Nguvu, ila fuata Sana USHAUR wa wadau.

Nenda kapate counselling,
unajua kipind hiki Cha ujana unapata company Unaweza chukulia easy.

Ila najua ukiwa peke ako afu umri umwwnda, afu upate unachangamoto za kiuchumi
Aisee Unaweza tamani Bora ujinyonge TU.

Hebu litafakari hilo dada angu[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…