Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Dooh kumbe mwanetu kafuta PM zote,tunaana upyaaaa!!Kanitumie Text kuleee, mie PM sizioni, Mello ametuamulia watumia App lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas itakua ni huyu anayepovukaaa sanaa, lolhivi dc si ana account humu,mwambieni ulimbikeni wa mapenzi awaachie wengine kuna watu wana pisi kali na wametulia tu
Kanitumiee text kulee bhana wee, uniambie.Dooh kumbe mwanetu kafuta PM zote,tunaana upyaaaa!!
Vp ashaachwa?😅😅tatizo mwamba ana ushamba flan wa kichuggaMkuu uliyeanzisha huu mazishi wapi ..
Nimeingia twitter kila kona wanamdiss jamaa mara wengine wanasema Wana mkasa mzima ...Ila sio fresh watu wanamdiss kinoma jamaa wa watuMkuu uliyeanzisha huu mazishi wapi ..
Hebu tupe story ndugu wengine hatuna akaunti twittani 😅ashaachika nini mhe.disiiiNimeingia twitter kila kona wanamdiss jamaa mara wengine wanasema Wana mkasa mzima ...Ila sio fresh watu wanamdiss kinoma jamaa wa watu
Wengi wanasema story zipo kweny magroup yap huko ya kulipiaHebu tupe story ndugu wengine hatuna akaunti twittani 😅ashaachika nini mhe.disiii
Lol wasijefanya mhe disii akaded jamen,Kama kweli ,basi mapenzi shikamoo😅Wengi wanasema story zipo kweny magroup yap huko ya kulipia
Lol wasijefanya mhe disii akaded jamen,Kama kweli ,basi mapenzi shikamoo😅
Doh kumbe itakua kweli,nimeona instagram mtu kaandika mh kafuta picha zote za mkewe nikaenda kuchungulia kwenye instagram page ya mheshimiwa kweli nimekuta kafuta picha zote za mkewe!
Doh kumbe itakua kweli,nimeona instagram mtu kaandika mh kafuta picha zote za mkewe nikaenda kuchungulia kwenye instagram page ya mheshimiwa kweli nimekuta kafuta picha zote za mkewe!
Itakua kishawaka huko
Kwani kisa cha kuachana ni nini?Iliyesema usiusemee moyo hakukosea..Luna baadhi ya kapo ukiziangalia tamthilia zao za mtandaoni unaweza kuhisi upo kuzimu ya mapenzi kumbe wao wapo mtandaoni kujifariji..unaweza hisi mapenzi hamyajui kwa kuangalia wao lkn kumbe wanamengi myoyoni Mwao...hii iwe fundisho kwa wanaume uchumba mrefu kama mnyororo wa mbwa kiswahili muache..mahusiano yamekuwa siku nyingi mno ,pete ya chumba na mtt juu kuitwa kumsifia tuuu mtandaoni km angekuwa na maana huo angeshavuta jiko ndani mapema kabisa kulingana na wadhifa na cheo chake angejistiri kwa hilo..long huwezi jua pengine kuna kasoro aliyoiona yy ikawe kikwazo cha kufanya maamuzi bibie kaona asiwe wa majaribio mbwai IKEA mbwai ..ki vyovyote inawezekana alipata wa mpunga mrefuzaidi ya mh..ILA USIONE WATU WANAPENDANA MTANDAONI KUMBE HAKUNA KITU NA HAWAMAANISHI HIVO
Tena usukumaniNi sawa na kulima miwa kwenye eneo la shule ya msingi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio mramaWabongo wanavyopenda mambo ya wenzao yaende mrama...