Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Natamani kupenda kama hao kina Nikki 2 wanavyopwnda ila ndo siwezi hata kidogo.
Nilikua naweza kipindi cha uteenager ila saivi karoho ka kukupenda sinako kabisa aisee.

Sasa nikimpost kama hivyo mbususu nyingine si nitakua nimejiharibia kabisa.
 
Doh kumbe itakua kweli,nimeona instagram mtu kaandika mh kafuta picha zote za mkewe nikaenda kuchungulia kwenye instagram page ya mheshimiwa kweli nimekuta kafuta picha zote za mkewe!
Itakua kishawaka huko
 
Iliyesema usiusemee moyo hakukosea..Luna baadhi ya kapo ukiziangalia tamthilia zao za mtandaoni unaweza kuhisi upo kuzimu ya mapenzi kumbe wao wapo mtandaoni kujifariji..unaweza hisi mapenzi hamyajui kwa kuangalia wao lkn kumbe wanamengi myoyoni Mwao...hii iwe fundisho kwa wanaume uchumba mrefu kama mnyororo wa mbwa kiswahili muache..mahusiano yamekuwa siku nyingi mno ,pete ya chumba na mtt juu kuitwa kumsifia tuuu mtandaoni km angekuwa na maana huo angeshavuta jiko ndani mapema kabisa kulingana na wadhifa na cheo chake angejistiri kwa hilo..long huwezi jua pengine kuna kasoro aliyoiona yy ikawe kikwazo cha kufanya maamuzi bibie kaona asiwe wa majaribio mbwai IKEA mbwai ..ki vyovyote inawezekana alipata wa mpunga mrefuzaidi ya mh..ILA USIONE WATU WANAPENDANA MTANDAONI KUMBE HAKUNA KITU NA HAWAMAANISHI HIVO
 
Kwani kisa cha kuachana ni nini?
 
Back
Top Bottom