Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Kweli sikuizi akuna wanaume kuna wanaume wa dar wale waliomliza jumanature mpka wakamsaidiia kuandika albamu ya ugali wameenda wapi? Jamani machalii wa mere Pesa ya tanzanite imekata au km ipo fungeni uyu mtoto mdomo ndio atajua biblia ilimaanisha nini? Kusema tuishi na hao viumbe kwa akili maana ni wajanja km nyoka!!! Nature na vurugu zake za temeke walimkalisha chini sasa wew jidai msomi na darasani ulikua unaingia na pen tu ata scientific calculator ujui kuiwasha ukipokonywa tonge km wenzako ndio utajua habar ya hawa viumbe na upuuzi unao post.
 
Tunasubiri amalize kunyonyesha
 
Kweli mkuu sikupingi, ukiwa nademu mwenye akili kubwa unahisi raha kila mara
 
Agiza kinywaji ukipendacho mkuu
 
Kabisa.
 
Nikki aambiwe ukweli, kwanza mke hatangazwi kwenye mitandao, kwa mfano nikiwa na kisu kikali nikaamua kula nyama ninamkula tuu mke wa nikki, atabaki na mashairi mke wake atabaki na shillings

Tukubaliane nikkiwapili kashakuwa fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…