Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Sijawai kuuuona ubaya wa Nikki ila kama mapenzi yanamsumbua sio jambo baya kwetu hilo ni swala linalo mtesa yeye kwa sasa kama hii ishu nikweli

Nikki ni mfano kwa vijana wengi hasa sisi ambao tumejua maisha mapema sana tumejua majukumu tukiwa Bado wadogo tunastaili kumpa heshima flan ivi

Mambo ya mahusiani kilamwadamu anayapitia Nikki sio mfano wa uhuni nombeni tusimweke kundi baya kundi la wahuni Wachache Nikki sio muhuni that why aliamua kuoa

Inaezekana unamwandika Nikki vibaya na kumchfua ila tabia zako zikawa zakishenzi sana wala ustaili kuwa kioo Cha jamii nakushauri jifunze kupitia Nikki na kama kunagumu anapitia kwa sasa basi liangalie namnagani atalishuhulikia alafu ujifunze kwake
 
Mambo yameshaanza kuchanganyika Rangi huko

Hiv alisomesha huyu mdada
#wanaume wenzake tulimkanya
 
Back
Top Bottom