CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
madam yuko vizuri mkuu,amefanya kazi na hayati miaka 5,anajua mapungufu ya hayati anataka ayarekebishe.Pressure iko poa.
Ila madam anatia hasira π
Afadhali timu Samia kuliko ile timu shenzi iliyopita, imekuwa aibu ya Taifa.Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
View attachment 1746417
Sawa tutaonaAt calvary
madam yuko vizuri mkuu,amefanya kazi na hayati miaka 5,anajua mapungufu ya hayati anataka ayarekebishe.
Mwamba alikuwa ashauriki mkuu.
Inawezekana ujenzi Wa Hiyo bandari ulikuwa na tija kwa taifa, inawezekana jiwe alimbania jk.Sawa tutaona
Sasa kisa cha kumuondoa mkuu wa TPA ni nini. Huyu anaongozwa na watu anataka kurudisha mkataba kichaa wa Bagamoyo.
UMEFANYA UTAFITI ??π€£π€£π€£π€ΈββοΈππ€¨Tanzania ni nchi pekee ambayo raia wake ni wanafiki wa kiwango cha hali ya juu!
Na mkataba uwekwe wazi mbona wanaurudisha kwa kasi hivi.Mk
Inawezekana ujenzi Wa Hiyo bandari ulikuwa na tija kwa taifa, inawezekana jiwe alimbania jk.
HafaiSasa ajiuzuru kwasababu wewe humpendi au yuko pale kinyume chΓ‘ sheria?
Nalog off
Ingekuwa vema umfuate hikihiki juu, ya I u akaa chini kumsubiri aanguke?Ila poa tu mimi nasubiri great fall
Nchi imeendeshwa na wapumbavu wengi sana awamu ya 5! Unajiuliza huyu ni kiongozi kweli?Chalamila amesema kuwa nyie mataga hamkujuaga kuwa hata mawe huwa yanakufa.
Sambamba na kuusambaratisha muungano wa Mifuko ya jamii,MEKO aliunganisha aweze kuchukua fedha kirahisi na amefanikiwa hilo,hakuna fedha now,you retire today then after two years you are benefits your package.LooohBi mkubwa afuate ilani tu na kumaliza miradi mikubwa ambayo inajengwa.
CCM ni ileileKwa Mara ya Kwanza ntapigia Kura ccm uraisi
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.
Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.
Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.
Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.
Vinginevyo ajiuzulu.
View attachment 1746417
Wapo waliowezaMwendazake mlimweza kumkosoa akiwa hai?
Mama yuko vyema. Urais si vita dhidi ya wananchi!
CCM ni ile ile.Kwa Mara ya Kwanza ntapigia Kura ccm uraisi
Wapo walioweza
Wote hao. Na ambao hukubahatika kuwajua..!Unamaanisha kina kigogo na jamhuri ya watu wa Twitter?
Au kina Lissu yaliowakuta ya kuwakuta? Au Lema na wenzao kwa kuota ndoto tu waliozea jela?
Au kina Ben na wengine ambao hatimaye walipatikana kwenye sandarusi?
Wote hao. Na ambao hukubahatika kuwajua..!