Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.

Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.

Vinginevyo ajiuzulu.

View attachment 1746417
Afadhali timu Samia kuliko ile timu shenzi iliyopita, imekuwa aibu ya Taifa.
 
At calvary
madam yuko vizuri mkuu,amefanya kazi na hayati miaka 5,anajua mapungufu ya hayati anataka ayarekebishe.

Mwamba alikuwa ashauriki mkuu.
Sawa tutaona
Sasa kisa cha kumuondoa mkuu wa TPA ni nini. Huyu anaongozwa na watu anataka kurudisha mkataba kichaa wa Bagamoyo.
 
Mk
Sawa tutaona
Sasa kisa cha kumuondoa mkuu wa TPA ni nini. Huyu anaongozwa na watu anataka kurudisha mkataba kichaa wa Bagamoyo.
Inawezekana ujenzi Wa Hiyo bandari ulikuwa na tija kwa taifa, inawezekana jiwe alimbania jk.
 
Sasa ajiuzuru kwasababu wewe humpendi au yuko pale kinyume chá sheria?
Nalog off
 
Bi mkubwa afuate ilani tu na kumaliza miradi mikubwa ambayo inajengwa.
Sambamba na kuusambaratisha muungano wa Mifuko ya jamii,MEKO aliunganisha aweze kuchukua fedha kirahisi na amefanikiwa hilo,hakuna fedha now,you retire today then after two years you are benefits your package.Loooh
 
Iko hivi nyinyi mnaosifu sifu sasa yale afanyayo Samia siku akiwageuka naomba muendelee na kazi yenu.

Haiwezekani Rais hana vision, msimamo na hajui afanye nini.
Yeye kupelekeshwa tu na majadiliano ya mitandaoni.

Aendelee tu ila mwisho wake uko na utakuwa mbaya asipobadili mwendo. Kapoteana.

Na yeye ni zao la Uongozi Dhalimu kama ako na nia ya dhati kuibadilisha Tanzania na aitishe uchaguzi mkuu.

Vinginevyo ajiuzulu.

View attachment 1746417

Mwendazake mlimweza kumkosoa akiwa hai?

Mama yuko vyema. Urais si vita dhidi ya wananchi!
 
Wapo walioweza

Unamaanisha kina kigogo na jamhuri ya watu wa Twitter?

Au kina Lissu yaliowakuta ya kuwakuta? Au Lema na wenzao kwa kuota ndoto tu waliozea jela?

Au kina Ben na wengine ambao hatimaye walipatikana kwenye sandarusi?
 
Wote hao. Na ambao hukubahatika kuwajua..!
 
Wote hao. Na ambao hukubahatika kuwajua..!

Basi kumbe mwendazake hakukubali kukosolewa hadi alipokufa. Kwa maneno ya mwalimu (rip) huyu bwana alikuwa hafai.

Mama yuko vizuri na kwa mwendo huu:

IMG_20210510_071631_070.jpg

Atavuna sana kura hasa za watanzania walio wazalendo kweri kweri!

Kura za watanzania maslahi mama hana haja nazo.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom