cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kimewalambaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilioni ni vingi na vipigo ni vikali...tulia. tuombe tu vifo visitokee. Ila stroke na kisukari haviepukiki
Tuelewesheni hayo makitu...hii FIC ndo nini tena
Wiki iliopita kuna mpuuz aliniletea habari za FIC. Nilimskiliza nikamwambia ngoja nifuatilie, Leo yupo analia. Alichukua mkopo kwa ndugu yake akaenda kuiweka FIC.Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure.
Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
Poleni.
Mimi ndiye niliyekupiga block mkuu. Wewe si ulikuwa unasema tuchimbe hela tuchimbe hela. Nikaona unataka kuamsha watu wewe.Hilo group la kuchimba hela online aliniunga mtu tunaheshimiana tu kufika kwenye group kuangalia profile tu watu wamechoka balaa
Ila cha ajabu wako bussy balaa utawasikia sijui pai moja mara pai kumi itauzwa dola laki tatu , nikaunga tela kwa kuwasanifu tu, ikawa kila nikiingiaa
Naanza " jamani tuchimbe hela tuchimbe hela ,hela si zinachimbwa " ghafla wawili watatu hawakuelewa kama nawakebehi,
Kubwa lao la group likanistukia na kunitembea block moja matata na kuniremove
HahahhaahahhaahHilo group la kuchimba hela online aliniunga mtu tunaheshimiana tu kufika kwenye group kuangalia profile tu watu wamechoka balaa
Ila cha ajabu wako bussy balaa utawasikia sijui pai moja mara pai kumi itauzwa dola laki tatu , nikaunga tela kwa kuwasanifu tu, ikawa kila nikiingiaa
Naanza " jamani tuchimbe hela tuchimbe hela ,hela si zinachimbwa " ghafla wawili watatu hawakuelewa kama nawakebehi,
Kubwa lao la group likanistukia na kunitembea block moja matata na kuniremove
Sio daslama,mimi nilipigiwa simu na watu wa kigoma na kagera jamaa zangu wakinielekeza namna ya kuinvest ila simu yang iligoma kutumia telegram,pia niliwakatalia niliona nimechelewa kuijua hvyo naweza poteza pesa kabla sijafanikiwa na kweli,huu mchongo niliambiwa mwezi wa pili mwishoniLBL na FIC ndo kitu gani huko Daslama?
Huyu sukari lazima ipande. Hela ya mkopo kachezea!!! God mercy upon us.Wiki iliopita kuna mpuuz aliniletea habari za FIC. Nilimskiliza nikamwambia ngoja nifuatilie, Leo yupo analia. Alichukua mkopo kwa ndugu yake akaenda kuiweka FIC.
Usitake hata kuijua ni utapeli mtupuTuelewesheni hayo makitu...hii FIC ndo nini tena
Mim waliokuwa wananishawish waliniambia walikuwa wanatoa,kuna mmoja niliongea nae hv karibun akaniambia alianza na laki 3 sahv ana laki 9 nikamwambia toa inatosha,akanikatalia ananiambia anataka ifike milioni ndo atoeWanasema walikua wanaona pesa kwenye mkeka lakini kutoa ndio ikawa shida
Sasa kama huyo aliyepigwa 300+mls anaacheje kupigwa stroke kali mithili ya tetemeko la kipimo cha 6.8 Richter.Wajinga huwa hawapati presha wala kisukari kutokana na ujinga wao.
Ilikuwa inafanyeje kazi hiyo mtumishFIC ililenga wasomi na waajiriwa yaani imewapiga pesa ndio maana wanalia kimyakimya
Cousin wangu anatamani sana kuzaa na wewe. Fungua inbox yako usome..Kimewalambaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Hata LBL imewanyosha sana wenye uhakika wa mshahara.FIC ililenga wasomi na waajiriwa yaani imewapiga pesa ndio maana wanalia kimyakimya
Pesa na Mali sio rahisi kias hichoHata LBL imewanyosha sana wenye uhakika wa mshahara.
Mimi binafsi nilishauriwa sana nikawakatalia. Eti watu wakaanza hadi kudharau kazi inayotuingizia mshahara.
Halafu imetandika wasomi , waajiriwa , yaani ubilionea upotea ghafla , wawekezaji walikua wanajihesabia miaka miwili Tu tayari watamiliki vitu vya thamani lakini ndio hivoFIc ni kilio