Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

Vilioni ni vingi na vipigo ni vikali...tulia. tuombe tu vifo visitokee. Ila stroke na kisukari haviepukiki
IMG-20250309-WA0017.jpg
 
Hilo group la kuchimba hela online aliniunga mtu tunaheshimiana tu kufika kwenye group kuangalia profile tu watu wamechoka balaa

Ila cha ajabu wako bussy balaa utawasikia sijui pai moja mara pai kumi itauzwa dola laki tatu , nikaunga tela kwa kuwasanifu tu, ikawa kila nikiingiaa

Naanza " jamani tuchimbe hela tuchimbe hela ,hela si zinachimbwa " ghafla wawili watatu hawakuelewa kama nawakebehi,

Kubwa lao la group likanistukia na kunitembea block moja matata na kuniremove
 
Mimi ndiye niliyekupiga block mkuu. Wewe si ulikuwa unasema tuchimbe hela tuchimbe hela. Nikaona unataka kuamsha watu wewe.
 
Hilo group la kuchimba hela online aliniunga mtu tunaheshimiana tu kufika kwenye group kuangalia profile tu watu wamechoka balaa

Ila cha ajabu wako bussy balaa utawasikia sijui pai moja mara pai kumi itauzwa dola laki tatu , nikaunga tela kwa kuwasanifu tu, ikawa kila nikiingiaa

Naanza " jamani tuchimbe hela tuchimbe hela ,hela si zinachimbwa " ghafla wawili watatu hawakuelewa kama nawakebehi,

Kubwa lao la group likanistukia na kunitembea block moja matata na kuniremove
Hahahhaahahhaah
 
LBL na FIC ndo kitu gani huko Daslama?
Sio daslama,mimi nilipigiwa simu na watu wa kigoma na kagera jamaa zangu wakinielekeza namna ya kuinvest ila simu yang iligoma kutumia telegram,pia niliwakatalia niliona nimechelewa kuijua hvyo naweza poteza pesa kabla sijafanikiwa na kweli,huu mchongo niliambiwa mwezi wa pili mwishoni
 
Wiki iliopita kuna mpuuz aliniletea habari za FIC. Nilimskiliza nikamwambia ngoja nifuatilie, Leo yupo analia. Alichukua mkopo kwa ndugu yake akaenda kuiweka FIC.
Huyu sukari lazima ipande. Hela ya mkopo kachezea!!! God mercy upon us.
 
Hata LBL imewanyosha sana wenye uhakika wa mshahara.
Mimi binafsi nilishauriwa sana nikawakatalia. Eti watu wakaanza hadi kudharau kazi inayotuingizia mshahara.
Pesa na Mali sio rahisi kias hicho
 
Back
Top Bottom