Mbona imebadilika na sasa imekubali chanjo na kuzileta? sasa hapo kinashindikana nini kingine?Serikali iliyokuwa inapinga chanjo awamu ya tano ina moral authority gani ya kuweza kutoa elimu juu ya chanjo leo hii?Yaani serikali ileile iliyokuwa inashirikiana na Magufuli katika awamu ya tano katika kupinga chanjo leo hii ibadilike kutoa elimu juu ya chanjo? WTF!
Barakoa sio kinga kamili. Inanizuia mimi kuambukiza kuliko kuambukizwa.Kwani si uvae barakoa kujikinga na hatua zingine? Je ni haki yako kuingilia uhuru wa afya yangu?
Serikali ya Samia haijaleta chanjo kwa sababu eti ina nia ya kukinga watu dhidi ya Corona na hili linathibitishwa na tabia ya Serikali kutokujali kabisa kanuni za kupambana na Corona kama vile kuzuia mikusanyiko na kadhalika.Mbona imebadilika na sasa imekubali chanjo na kuzileta? sasa hapo kinashindikana nini kingine?
Kama ni hivyo basi hatuwezi kuendelea kumbebesha lawama Magufuli kuwa et ndio kikwazo cha watu wengi kutokuchanja wakati kumbe tatizo ni hii serikali yenyewe ya sasa.Serikali ya Samia haijaleta chanjo kwa sababu eti ina nia ya kukinga watu dhidi ya Corona na hili linathibitishwa na tabia ya Serikali kutokujali kabisa kanuni za kupambana na Corona kama vile kuzuia mikusanyiko na kadhalika.
Serikali ingekuwa na nia ya kupambana na Corona wangetoa elimu juu ya chanjo.
Serikali ya Samia imeleta chanjo kwa sababu zifuatazo:
1.Kukwepa kutengwa kimataifa.
2.Kupata fedha zinazoambatana na masuala ya kupambana na Corona.
3.Kujisafisha kutoka kwenye upuuzi aliofanya Magufuli wa kupinga chanjo katika awamu ya tano.
4.Kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kwa kuidanganya dunia kwamba Tanzania inapambana na Corona.
Lawama zote ni lazima azibebe Magufuli kwa sababu serikali iliyopo madarakani sasa hivi imepata mentality,uzoefu,kiburi pamoja na mafunzo ya kupinga chanjo kutoka kwa Magufuli kwa sababu ndiyo iliyokuwa serikali ya Magufuli na huo ndiyo urithi ambao Magufuli aliuacha kwa serikali yake alipokufa.Kama ni hivyo basi hatuwezi kuendelea kumbebesha lawama Magufuli kuwa et ndio kikwazo cha watu wengi kutokuchanja wakati kumbe tatizo ni hii serikali yenyewe ya sasa.
Inasikitisha Sana.Mungu hukumbukwa wakati wa njaa tu, kila apataye husifu akili yake.
Chuki zako dhidi ya JPM usizilete kwa watu kutaka kulazimisha unavyotaka wewe.Amri ni kwa watumishi sio waumini hata serikali inaweza sema mtumishi wa umma chanzo lazima hutaki tupishe usituletee ugonjwa,imefanyika hivyo nchi nyingi tuu na ilianza kwa neno hiari.
Kimsingi huna hiari ya kuambukiza wengine nadhani ulimsikia na Spika aliwaambia hivyo hivyo wabunge.
Achaneni na ujinga wa imani za ujinga wa kina Gwajima,mafuta ya mwamposa na ushirikina.
Acha uongo wewe, hao wananchi uliowasikia wanasema wanachanja ni wa wapi?Mama alifanya vizuri kwa sababu kusema tunachanja hatuchanji na wananchi kuitikia tunachanjaaaa
Askofu kaishiwa pozi na hakutaka kuweka comment badala yake kabase kwenye matatizo ya wananchi wake wa kawe
Mama kambana askofu angemuhoji pale direct ingekuwa ni udhalilishaji
Lakini ni kama tu kamtaka askofu aseme tunachanja na ajue huo ndiyo msimamo
Mama hayupo upande wa askofu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unajua mwanzo ilikuwa lawama ni kwamba haziletwi chanjo serikali ya Magufuli haikutaka chanjo ila sasa serikali hii imeleta chanjo kitu ambacho ni tofauti na msimamo wa serikali ya Magufuli kwamba chanjo ni mbaya, na si tu kwamba serikali hii imeleta chanjo bali viongozi wake ndio wakwanza kuchanja hadharani kuonesha kwamba chanjo hazina madhara kama ulivyokuwa msimamo wa Magufuli katika serikali yake.Lawama zote ni lazima azibebe Magufuli kwa sababu serikali iliyopo madarakani sasa hivi imepata mentality,uzoefu,kiburi pamoja na mafunzo ya kupinga chanjo kutoka kwa Magufuli kwa sababu ndiyo iliyokuwa serikali ya Magufuli na huo ndiyo urithi ambao Magufuli aliuacha kwa serikali yake alipokufa.
Yale yale ya mwendazake subiri ipite na wewe kushoto mbona hukwenda kumsaidia na kumwomba Mungu wake amwokoe ?kumbuka ni Mungu huyu huyu ameruhusu ELIMU NA MAARIFA VITAMALAKI,ILI WATU WASIFE HOVYO ni suala la muda tu wewe utapatika unamsikiliza huyo UNO Gwajima hamna kitu pale hakawii kuyaruka aliyoyasema.Wananch sio wajinga wewe
Nenda makanisani mfano ya katoliki yaliyojaa wasomi wakubwa unakuta ni padri tu ndie kavaa barakoa ina maana waumini wote hawajielewi kasoro huyo padri tu? Wote hawajasoma na wana uelewa mdogo kasoro padri tu?
Ina maana wasomi wote wanaojazana makanisani na misikitini bila barakoa uelewa wao hawana?
Wananchi wanajielewa sana kuliko viongozi
Unapoona kiongozi wa dini yeye peke yake ndie kavaa barakoa waumini hawajavaa ujue kuwa waumini wana imani kwa Mungu kuliko kiongozi wao!!!! Kiongozi anaamini kuwa akiwa kanisani kwenye nyumba ya Mungu MUNGU ANAWEZA MTUPIA CORONA WAKATI WAUMINI HAWAAMINI HILO
hao sisiemu ni masters wa sanaa ya uzandikiMaza kawageuka kina Nduga.....
Nauliza Logic ya mapadre kuvaa barakoa wakati Kuna wasomi kibao kanisani kwao waliowazidi Elimu na exposure well travelled around the world kuliko wao kutovaa barakoaYale yale ya mwendazake subiri ipite na wewe kushoto mbona hukwenda kumsaidia na kumwomba Mungu wake amwokoe ?kumbuka ni Mungu huyu huyu ameruhusu ELIMU NA MAARIFA VITAMALAKI,ILI WATU WASIFE HOVYO ni suala la muda tu wewe utapatika unamsikiliza huyo UNO Gwajima hamna kitu pale hakawii kuyaruka aliyoyasema.
Awali Gwajima ni mbunge wa Kawe....mh.Rais alikuwa anampelekea heshima yake kama mwakilishi wao.....Tumemsikia rais Samia akitamka, Gwajima hoyee…Gwajiboy hoyeee..!
Gwajima anajulikana kwa kukinzana na serikali ya Samia kuhusu chanjo ya korona na amekuwa akitoa kauli tata na hata kuwakeji viongozi wa serikali akiwepo waziri wa afya, spika na wengine.
Sasa rais anapomshabikia Gwajima haoni kwamba anapeleka ujumbe wenye utata kwa wananchi kuhusu chanjo na namna Gwajima anavyo behave?
Je rais anamuunga mkono Gwajima katika suala lipi hasa kwa hiyo hoyeeeeee….?!
Na wananchi wanasema hatutakiiiii....Mapema Leo wakati Rais Samia yupo Tegeta jimbo la Kawe kwa Mchungaji Gwajima akiongea na wananchi na wakazi wa Kawe waliojitokeza kumsikiliza ameongea mengi lakini kati ya hayo ni pale aliposema "Gwajiboy oyeee, tunachanja, hatuchanji? Haya mheshimiwa gwajima endelea"
Kwa kauli hii Spika na Waziri wa Afya wako na hali gani kwa sasa?
Je, tuendelee kutegemea hatua zozote kutoka kwenye chama (CCM) dhidi ya Gwajiboy?
HatutakiiiiVideo iko wapi?