#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

My take:
.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Wananch sio wajinga wewe

Nenda makanisani mfano ya katoliki yaliyojaa wasomi wakubwa unakuta ni padri tu ndie kavaa barakoa ina maana waumini wote hawajielewi kasoro huyo padri tu? Wote hawajasoma na wana uelewa mdogo kasoro padri tu?

Ina maana wasomi wote wanaojazana makanisani na misikitini bila barakoa uelewa wao hawana?

Wananchi wanajielewa sana kuliko viongozi

Unapoona kiongozi wa dini yeye peke yake ndie kavaa barakoa waumini hawajavaa ujue kuwa waumini wana imani kwa Mungu kuliko kiongozi wao!!!! Kiongozi anaamini kuwa akiwa kanisani kwenye nyumba ya Mungu MUNGU ANAWEZA MTUPIA CORONA WAKATI WAUMINI HAWAAMINI HILO
 
Aangalie kichotokea dodoma chamwino[emoji116]

Afu Bado Kuna kichaa ananambia nikachanje
1630573011672.jpg
2992eebf61114cff953c1b1dad106b6c.jpg
 
Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.

Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.

Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?

My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
View attachment 1920799View attachment 1920800
View attachment 1920846

Kwamba? Gwajiboy hoyeee!

Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho

Hiiiiii bagosha!
 
Kwa uelewa wako, nani anaaminika na wananchi Marehemu Magufuli au Mama Samia?
 
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
View attachment 1920799View attachment 1920800
View attachment 1920846
Kuna mwanasiasa asiekula matapishi yake nchi hii? Thread za namna hii ndo zinasababisha baadhi ya wanasiasa uchwara wawaone wafuasi wao mazombi wa kuamini kila wanachosema. Wazazi wa mazombi hawa wamezaa tu ila faida ya uzazi huo wanapata wanasiasa.

images (7).jpeg

2878995_images_9.jpeg

images (12).jpeg

images (10).jpeg
 
Rais ndo ametoka hadharani, hivyo kuuliza ni kutaka kujua hari harisi.

Baada ya hapo amefafanua kwamba, wanao chanja wachanje, wasio chanja waachwe wasichanje.

Hakuna haja ya kuumizana kwa ajili ya jambo hilo.
 
Nchi imekua vururu vururu, CCM mmeitaparanyika sana nchi, hamstahili kuwepo tena madarakani.
 
Back
Top Bottom