#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

hatatokea tena MTU Wa kuweka ligi na gwajiboy....


makonda alichezea za uso licha ya kuwa kipenzi cha baba shemeji yake. bashite ni binam wa Janet mbizo.


gwajigirl alizani mwanamama mwenzake atamlimda na akina ndugu gay wakidhani wanajiunga na mama wamechrmka..... maza kawaruka ft mia na hitimisho ni kuwa mjadala umefungwa na mwenyekiti Wa ccm uliokuwa najadiliwa na bungeccm
 
Wananch sio wajinga wewe

Nenda makanisani mfano ya katoliki yaliyojaa wasomi wakubwa unakuta ni padri tu ndie kavaa barakoa ina maana waumini wote hawajielewi kasoro huyo padri tu? Wote hawajasoma na wana uelewa mdogo kasoro padri tu?

Ina maana wasomi wote wanaojazana makanisani na misikitini bila barakoa uelewa wao hawana?

Wananchi wanajielewa sana kuliko viongozi


Unapoona kiongozi wa dini yeye peke yake ndie kavaa barakoa waumini hawajavaa ujue kuwa waumini wana imani kwa Mungu kuliko kiongozi wao!!!! Kiongozi anaamini kuwa akiwa kanisani kwenye nyumba ya Mungu MUNGU ANAWEZA MTUPIA CORONA WAKATI WAUMINI HAWAAMINI HILO
“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad SAW.

Na biblia inasema kuwa imani bila matendo imekufa.

Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Kupiga maombi wakati hakuna mipango pamoja na vitendo(Actions) madhubuti vya kupambana na kujikinga na Corona ni kumkejeli Mungu.

Huyo mchungaji au padri anaeingia kanisani na barakoa yupo sahihi na hao wasomi wanaoingia bila barakoa wamepotoka na kuthibitisha hilo ndiyo maana wanakufa kama kawaida.
 
Uzuri ni kuwa wengi wao wakiugua wataishia kwa waganga ambao watawaambia wamelogwa au kwa wakina Gwajima ambao watawafufua hata kama watakufa.

Amandla...
Nchii haiku lockdown, Baba yenu Bill Gates alisema watu watakuwa wanaanguka mtaani au unafikiri tumesahau? Kwamba second wave ingekuwa balaa afrika...kimetokea nini? Ka vipi chanja afu piga kimya tutakutana kwenye matokeo in 1 or 5 or 10 years.
 
Lazima au khiari kuchanga? Kila mtu na maamuzi yake
Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.

Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.

Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?

My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.

 
Wanapenda kutuvuruga sana! Sasa waliosema achukuliwe hatua na chama chake, sijui chama gani tena maana mwenye chama ndo huyo keshasema Gwajiboy oyeee.

Gwajigirl, ****** wajipange upya
Wataufyata mithiri ya mbwa aliyekutana na simba.
images (1).jpeg

Gwajigirl akirudi nyuma
 
Sema hii serikali haieleweki...ikumbukwe Ndugai kasema Aajibishwe endapo haitokua hivo Wazari wa mambo ya Ndani ataitwa Na sijui hadi mda huu ile kamatai ya ndugai nayo inajisikiaje kwa kweli inafikia wakati Mama unamwacha aende anavyoenda tu.
Walisema Gwajiboy, akirudia tena ndo waziri na AG wataitwa
 
Kwan kuchanjwa ni faida ya ccm ,akili za BAVICHA bwana

sent from HUAWEI
 
Chanjo ya covid hawatachanjwa, je!, ya ukimwi pia watapinga????


Aise,,bora weupe warudi kumtawala mtu mweusi.

Pole sana mkuu, zingatia ARVs na ushauri NASAHA…. sahau kuhusu chanjo yake.
 
Aangalie kichotokea dodoma chamwino[emoji116]

Afu Bado Kuna kichaa ananambia nikachanjeView attachment 1920859View attachment 1920861
Sasa hapa cha ajabu ni kipi?Waziri si ameshasema kuwa kilichotokea ni kanuni za kitaalam hazikufuatwa?Maana yake kama kanuni za kitaalam zingefuatwa hakuna mfugo ambae angekufa.

Inawezekana labda walipewa chanjo ambayo imeshaisha muda wake au labda walizidishiwa kipimo na kadhalika lakini kikubwa hapa ni kwamba taratibu za kitaalam hazikufuatwa na wala siyo kwamba chanjo ni mbaya.
 
Gwajima kajaza misukule yake ya kanisani halafu mnadai ni wananchi wa kawe!
 
huu mfrakano wa CCM wenyewe kwa wenyewe umefika pazuri sana.

Makada wameanza kukanyagana kwa siri wakishangaa mwenyekiti wao kipa katoka.
 
KWANI kuna shida gani ni haki ya kidemokrasia ya mtu kuamua tatizo lake likatatuliwe wapi iwe kujifukiza or whatever kama anaona yeye kama yeye vinamsaidia wewe kinakusumbua nini?

Ni sawa na kusema ohh kuna manisa wanapeli watu pesa tu wakati wewe husali huko na hao unaosema wanatapeliwa hawajawahi kufungua kesi popote kuwa wametapeliwa na unasahau kuwa mtu akishajipatia pesa yake yuko huru kuitumia atakavyo aweza lewea,kuhonga malaya au kumpa tapeli ni pesa yake wewe kinakuuma nini? mfano mtu kapata mshara wake kodi yako umeshachukua bado unaendelea kumfuta eti hiyo hela kwa nini apeleke kwa Gwajima au mchungaji fulani tapeli.Yanakuhusu nini? hizo ni private affair zake.Kwa hiyo utataka hata kufuatilia akienda kuhonga kuwa kwa nini unaenda kuhonga malaya? Huo ni ukorofi usiokuwa na sababu

Kila mtu aheshimu imani ya mtu mwingine

Shida ni kuwa wataambukiza hata wasiohusika. Ndio maana hapo zamani wagonjwa wa TB walikuwa wanatengwa lakini wa ukimwi hawatengwi. Au ukitokea mlipuko wa kipindupindu wagonjwa wanatengwa na uhuru wa watu kujumuika wapendavyo unaingiliwa. Ingekuwa wanaugua wenyewe tu tusingelalamika. Mimi sina shida na mtu kupeleka maiti ya mtu wake kuombewa na Gwajima ila nina taabu na mtu anayeugua ugonjwa wa kuambukiza kukazania kwenda kwa Gwajima.

Hilo la kuhonga malaya sina shida nalo ila nitamhoji kama anahonga malaya lakini familia yake inashinda njaa na watoto wake hawaendi shule kwa kukosa ada. Hapo mkorofi atakuwa yeye.

Amandla....
 
Nchii haiku lockdown, Baba yenu Bill Gates alisema watu watakuwa wanaanguka mtaani au unafikiri tumesahau? Kwamba second wave ingekuwa balaa afrika...kimetokea nini? Ka vipi chanja afu piga kimya tutakutana kwenye matokeo in 1 or 5 or 10 years.

Mimi nimefiwa sana ndio maana nimechanja. Wewe ambae haujafiwa endelea na imani yako.

Amandla...
 
Wewe mtanzania unajua nini kuhusu chanjo zilizotengenezwa Ulaya? Unaelimu yoyote kuhusu chanjo? Kama hauna vyote hivyo, hata wewe ni wale wale bendera fata upepo.

Si ajabu mpaka Sasa bado haujachanjwa.
Napendaga kutoa mfano kuwa hakuna mtu mweusi anaweza kugeuza mchanga/ udongo kuwa mashine. Sembuse kutengeneza chanjo!

Wote wanaopinga na wanaotetea chanjo wanasoma maelezo ya kisayansi ya wazungu then tunafanya conclusion; hivyo hiyo ni analysis inayokubalika.
Ila mwisho wa siku tunaopinga chanjo itaonekana tulikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom