#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

Ndiyo,,,mwafrika naijua vizuri akili yake.

Subili ifike utaona kama watapinga

Sidhani kama unawajua Mkuu. Waswahili wanakataa kuchemsha maji ya kunywa wakati wa kipindupindu ati kwa sababu hayanogi. Hivyo hivyo kwa ngono zembe. Wanadunda tuu.

Amandla...
 
Ndo ujue kuwa mama aliwaingiza chaka na boshen/ kuzuga kuwa alichanja na nyie mkaingia kingi.
 
Tunafuata uamuzi wa wananchi kwamba hatuchanji.............
 
Sasa hapo kuna sosho distansi? Yaani Samia ana kata tawi wakati amekalia tawi hilohilo
 
“Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”-Mtume Muhammad SAW.

Na biblia inasema kuwa imani bila matendo imekufa.

Mungu huwa halipi maombi bali huwa analipa jitihada.Kupiga maombi wakati hakuna mipango pamoja na vitendo(Actions) madhubuti vya kupambana na kujikinga na Corona ni kumkejeli Mungu.

Huyo mchungaji au padri anaeingia kanisani na barakoa yupo sahihi na hao wasomi wanaoingia bila barakoa wamepotoka na kuthibitisha hilo ndiyo maana wanakufa kama kawaida.
Ogopa korona mtaani, na nyumbani na si nyumbani mwake Bwana! Basi MUNGU na akane mwenyewe kuwa yeye si mwema na si mwenye huruma Kama sisi tunavyomnadi! Kama humjui MUNGU ndugu yangu, tuache sisi tunaemjua tuwe na amani mbele yake, hatuna haja ya barakoa nyumbani mwake!
Kuamini MUNGU anaponya Kisha ukavaa barakoa nyumbani mwake ni kupingana na andiko Hilo la "Imani bila matendo..."
 
Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.

Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.

Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?

My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.

atuchanjwi ata wakitoa elim upya
 
Acha zako hizo wewe. Kama kuchanja ni hiari na wao hawachanji kuna ubaya gani. Yote hiyo kutaka kuonyesha anti zako kwa magufuli. Mwenyewe alisema kama ni chanjo lazima tuzichunguze na kuona kama ni salama kwanza wala hakukataa. Ila vibaraka na maagent wa ubeberu wenye kukubali kwa furaha kila wakiambiwa kitu na wazungu bila kujiridhisha kama hamna hila ndio wanajidai wanajua sana.
Kuchanja siyo hiari na lengo ni wananchi wote wachanjwe kwa mujibu wa Rais Samia.Kama haya masuala huyajui kaa pembeni kuficha ujinga.

Source:Rais Samia ahutubia Mkutano wa SADC Malawi

20210902_140731_temp.jpg
 
Wanapenda kutuvuruga sana! Sasa waliosema achukuliwe hatua na chama chake, sijui chama gani tena maana mwenye chama ndo huyo keshasema Gwajiboy oyeee.

Gwajigirl, ****** wajipange upya
Ndalilo nikufahamishe tuu hata kama utasigana na mimi, Siasa za uchaguzi elective posts kikubwa ni namba.

Mama lazima awe mpole mama kamili tutamuona 2025 to 2030. Usione kina Mbowe wanashinda kanda hiyo kila uchao wakati kuna kanda zingine wanamsubiri kwa hamu waongea na Mwenyekiti.

Kwenye uchumi kuna kitu tunasema Ujinga wa kukusia. Gwajima amekiepuka kikombe huyo.
 
Leo wakati Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akielekea Bagamoyo kurecord filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania alisimama kwenye jimbo la Kawe ili kusalimia wananchi.

Rais alimsimamisha Mbunge wa Kawe ili kutoa neno lakini kabla ya kumsimamisha aliwauliza wananchi wa Kawe kama watachanja au la kama video inavyoonyesha hapa chini.Katika hali ya kustaajabisha na ya kushangaza wananchi walimwambia Rais bila ya kupepesa macho kuwa hawatachanja kama video hii inavyoonyesha hapa chini.

Nimejiuliza maswali mengi sana.Kwa nini Rais aulize swali hilo kwenye jimbo ambalo mbunge wake hakubaliani na mambo ya chanjo?Ina maana Rais hajui kwamba kazi kubwa ambayo walifanya katika awamu ya tano ya kupinga chanjo ilifanikiwa sana hasa ukizingatia kuwa kazi hiyo ilifanyika katika Taifa lenye umasikini mkubwa sana wa akili?

My take:
Kwa sasa hivi serikali ya CCM inapata shida sana kula matapishi yake yenyewe ambayo waliyatapika katika awamu ya tano.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.

Kwani Rais wetu siku hizi anacheza Bongo Muvi?
 
Mama alikuwa anapima kina cha maji sio...😊😊😊
 
Sukuma gang wameshinda
hatatokea tena MTU Wa kuweka ligi na gwajiboy....

makonda alichezea za uso licha ya kuwa kipenzi cha baba shemeji yake. bashite ni binam wa Janet mbizo.

gwajigirl alizani mwanamama mwenzake atamlimda na akina ndugu gay wakidhani wanajiunga na mama wamechrmka..... maza kawaruka ft mia na hitimisho ni kuwa mjadala umefungwa na mwenyekiti Wa ccm uliokuwa najadiliwa na bungeccm
Mbowe alipewa pole alipofiwa na Kaka yake...... Baadae tukaambiwa Gaidi. Mchungaji Gwajima bado yupo kwenye blacklist ya Mama.

Ligi bado inaendelea,chamani na serikalini. Mzee wa uno zembe bado hajamaliza.
 
Halafu mnasema Gwajima na chama cha CCM hawakubaliki Kawe! Lazima ujitafakari sawa sawa kama una dhana hiyo. CCM inakubalika Kawe na Gwajima anakubalika Kawe. Leta hoja nyingine.
 
Ogopa korona mtaani, na nyumbani na si nyumbani mwake Bwana! Basi MUNGU na akane mwenyewe kuwa yeye si mwema na si mwenye huruma Kama sisi tunavyomnadi! Kama humjui MUNGU ndugu yangu, tuache sisi tunaemjua tuwe na amani mbele yake, hatuna haja ya barakoa nyumbani mwake!
Kuamini MUNGU anaponya Kisha ukavaa barakoa nyumbani mwake ni kupingana na andiko Hilo la "Imani bila matendo..."
Kwa hiyo huyo Mungu ana uwezo wa kuzuia Corona ukiwa nyumbani kwake tu na mtaani hawezi kuzuia usipatwe na Corona?Kama anaweza kuzuia Corona ukiwa nyumbani kwake anashindwa vipi kuzuia Corona ukiwa mtaani?
 
Mleta post na wewe ulianza vizuri sema kuhusu jpm umeonesha upimbi wako. Nchi hii ilipo leo kwa mazuri yote ni kazi ya jpm ya miaka 5, regardless madhaifu yake yote atasalia kuwa mwamba na hata babu yako kijijini analijua hilo
Vile mwendakuzimu amefurahia kutokea huko kuzimu ulipomsifia hapa😁😁😁
162869316286936.jpg
 
Sisi tunafuata msimamo wao serikali wala sioni kibaya wao walisema chanjo ni mbaya leo hii zimekuaje nzuri tena ghafla?
 
Gwajiboy kuwa Gwajigirl soon (Waziri wa....).
😂😂😂
Mabadiliko madogo madogo tu hayo...
Au mnasemaje Wakuu?
Mchawi mpe mwanao amlee!!! zilisikika sauti za wahenga fulani.
 
Back
Top Bottom