#COVID19 Tutegemee nini baada ya Rais Samia kusema 'Gwajiboy oyee Tunachanja, hatuchanji' mbele ya Askofu Gwajima?

My take:
.Ni vyema serikali ikiri mbele ya wananchi kuwa Rais Magufuli hakuwa sahihi na alipotosha sana uma ili wananchi waanze upya kuelimishwa juu ya gonjwa la Corona na chanjo.
Wananch sio wajinga wewe

Nenda makanisani mfano ya katoliki yaliyojaa wasomi wakubwa unakuta ni padri tu ndie kavaa barakoa ina maana waumini wote hawajielewi kasoro huyo padri tu? Wote hawajasoma na wana uelewa mdogo kasoro padri tu?

Ina maana wasomi wote wanaojazana makanisani na misikitini bila barakoa uelewa wao hawana?

Wananchi wanajielewa sana kuliko viongozi


Unapoona kiongozi wa dini yeye peke yake ndie kavaa barakoa waumini hawajavaa ujue kuwa waumini wana imani kwa Mungu kuliko kiongozi wao!!!! Kiongozi anaamini kuwa akiwa kanisani kwenye nyumba ya Mungu MUNGU ANAWEZA MTUPIA CORONA WAKATI WAUMINI HAWAAMINI HILO
 

Kwamba? Gwajiboy hoyeee!

Madhara ya Awamu ya Tano yanayofumbiwa Macho

Hiiiiii bagosha!
 
Kwa uelewa wako, nani anaaminika na wananchi Marehemu Magufuli au Mama Samia?
 
Kuna mwanasiasa asiekula matapishi yake nchi hii? Thread za namna hii ndo zinasababisha baadhi ya wanasiasa uchwara wawaone wafuasi wao mazombi wa kuamini kila wanachosema. Wazazi wa mazombi hawa wamezaa tu ila faida ya uzazi huo wanapata wanasiasa.







 
Rais ndo ametoka hadharani, hivyo kuuliza ni kutaka kujua hari harisi.

Baada ya hapo amefafanua kwamba, wanao chanja wachanje, wasio chanja waachwe wasichanje.

Hakuna haja ya kuumizana kwa ajili ya jambo hilo.
 
Nchi imekua vururu vururu, CCM mmeitaparanyika sana nchi, hamstahili kuwepo tena madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…