sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.
Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.
Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.
Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.
Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.
Happy birthday Simba 🦁