Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

Tuungane kuiomba Serikali ifanye siku ya tarehe 02 Oktoba kila mwaka iwe Diamond Platnumz day

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20221002_095652.jpg

Watanzania wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu za kimapato na uelewa.

Tuungane kuiomba serikali ifanye siku ya tarehe 02 October kila mwaka tuwe tunapumzika kusherekea zawadi tuliyopewa kama taifa yani kijana wetu Diamond Platnumz.

Hii siku adimu na adhimu ndio alizaliwa mwanamuziki huyu baba wa sanaa ya burudani Tanzania ambaye amefanya mambo makubwa tangu uwepo wa taifa ili la Tanzania.

Tukiamua inawezekana, kama tuna Nyerere day na Karume day hatushindwi kumpa hii heshima gwiji huyu hodari kabisa kuwai kutokea.

Mungu mbariki Diamond Platnumz, Mungu ibariki Tanzania.

Happy birthday Simba 🦁
 
Yaani tuaache kuwakumbuka kina mkapa tukumbuke wajaa laana wanaongoza kutuharibia maadili yetu.? Umeandika ujinga ni mwingi mnooo
Diamond Platnumz aka Simba ameharibu maadili yepi?
 
Baadaye tuje hapa tunadai kwamba afrika hasa Tanzania haijaendelea kwa sababu ya colonialism...
Samahi nimecomment thread ambayo sikukusudia
Tanzania haiwezi kuendelea kama mtaendekeza chuki kwa vijana wa taifa kama Diamond.
 
We unajuaje Diamond ndio atakuwa msanii wa mwisho kwa umaarufu Tz
Tanzania haiwezi kupata tena msanii kama Diamond Platnumz inatakiwa tumlinde kwa wivu mkubwa. Wangempata wakenya huyu sasa hivi mngekuwa wanyonge mno na wangembrand haswa
 
nilikua nimeandika tusi nikafuta kwa sabb ya kulimwa tofali na mod natamani Spartacus mnyama mkali aje kweny huu uzi amalizane na ww
 
Tanzania haiwezi kuendelea kama mtaendekeza chuki kwa vijana wa taifa kama Diamond.
Hakuna chuki hapo isipokuwa tukl busy na masuala ya kawaida tunasahau masuala ya msingi halafu baadaye tunajiuliza tunafail wapi.
Mimi sina chuki naye, maana ni kijana nayestahili pongezi kaanza chini kabisa na sasa ameajiri watu ambao wameanza maisha kabla yake.
 
Sasa tukiamua kusherekea siku moja kuna ubaya gani.. diamond ni heshima ya taifa
 
Sasa tukiamua kusherekea siku moja kuna ubaya gani.. diamond ni heshima ya taifa
Tuchape kazi wenzetu wanachapa kazi sisi tunawaza kusheherekea tu.
Nchi hii bado masikini tuzingatie mambo ya msingi otherwise maendeleo tutakuwa tunayaona kwenye tv ama tukisafiri tu
 
Back
Top Bottom