sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mkuu umeonae.. kesho tukiamka tuna laumu bei za nafaka kupanda afu mambo yenyewe ndio haya watz wana taka😂😂😂 mkuu huyu mtu kanichekesha na nimemdharauBaadaye tuje hapa tunadai kwamba afrika hasa Tanzania haijaendelea kwa sababu ya colonialism...
Samahi nimecomment thread ambayo sikukusudia
Diamond Platnumz aka Simba ameharibu maadili yepi?Yaani tuaache kuwakumbuka kina mkapa tukumbuke wajaa laana wanaongoza kutuharibia maadili yetu.? Umeandika ujinga ni mwingi mnooo
Tanzania haiwezi kuendelea kama mtaendekeza chuki kwa vijana wa taifa kama Diamond.Baadaye tuje hapa tunadai kwamba afrika hasa Tanzania haijaendelea kwa sababu ya colonialism...
Samahi nimecomment thread ambayo sikukusudia
Tanzania haiwezi kupata tena msanii kama Diamond Platnumz inatakiwa tumlinde kwa wivu mkubwa. Wangempata wakenya huyu sasa hivi mngekuwa wanyonge mno na wangembrand haswaWe unajuaje Diamond ndio atakuwa msanii wa mwisho kwa umaarufu Tz
Ndio mkuu🤣🤣🤣🤣 nimecheka kinyaaama
Hakuna chuki hapo isipokuwa tukl busy na masuala ya kawaida tunasahau masuala ya msingi halafu baadaye tunajiuliza tunafail wapi.Tanzania haiwezi kuendelea kama mtaendekeza chuki kwa vijana wa taifa kama Diamond.
Ujinga.We unajuaje Diamond ndio atakuwa msanii wa mwisho kwa umaarufu Tz
Sasa tukiamua kusherekea siku moja kuna ubaya gani.. diamond ni heshima ya taifaHakuna chuki hapo isipokuwa tukl busy na masuala ya kawaida tunasahau masuala ya msingi halafu baadaye tunajiuliza tunafail wapi.
Mimi sina chuki naye, maana ni kijana nayestahili pongezi kaanza chini kabisa na sasa ameajiri watu ambao wameanza maisha kabla yake.
Tuchape kazi wenzetu wanachapa kazi sisi tunawaza kusheherekea tu.Sasa tukiamua kusherekea siku moja kuna ubaya gani.. diamond ni heshima ya taifa