Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Chief

Hakika wewe huku mjengoni umejipambanua kama mpigania haki za walimu ingawa sometime unawapa makavu

Lakini all in all unapozungumzia Mpwayungu unazungumzia walimu

Salute kwako.
 
Katika kada 10 zinazolipwa vizuri na serikali kuu walimu wamo.
Mishahara yao si haba kabisa. Walimu wengi tu wanalipwa kati ya 2M na 3m kwa mwezi. Hiyo hela ni ndogo?
Acheni kudharau walimu
2M-3M wa secondary, primary au vyuo vya kati na vyuo vikuu?

Mleta mada anawazungumzia wa primary na secondary, ambao ili afikishe walau 1.8M anakuwa yuko kazini muda mrefu sana,sana,sana.
 
Enzi za mwalimu,, mwalimu kumiliki hata baiskeli ya swala, angeitwa bepari,, sikuhizi ukienda shule, nje ya shule utaina IST, Rav4, noah, etc zimepaki,,
Standard ya maisha ya waalimu ime imarika sana🤷🏽‍♂️
 
Ule mshahara haumtoshi mwalimu kwa kula vizuri ili afundishe kwa moyo. Watoto watafaulu kwa kufundishwa na mwalimu mwenye njaa? Wizara mjitahidi kuhusu marupurupu ya waalimu.
Ukiona mwalimu ana maisha ya hovyo, huyo ana shida ya money management,, hata umlipe milioni 500 kwa mwezi, shida iko pale pale😄,
Hawa watu wana access ya kukopa hata milioni 30 in a go, na wakafanya miradi wezeshi,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…