Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

Asante
 
Ila ujue hii kazi hakuna aliyeshikiwa fimboo aisee Kwa hiyo wameamua kujitolea waache wamejipanga kufa njaa utake usitake kwani hawajaona tokea primary hadi secondary wanavyoteseka halafu mtu akaenda kuchukua bachelour in education basi waache
 
Kweli kabisa mzee. Nashukuru kwa kuliona hili na kutusemea. Nina imani CHAWA wa mama wanapita humu kila siku na bila shaka watalibeba na kumpelekea. Walimu wanatia huruma sana ktk nchi hii ya kusadikika.
 
Walimu wanakufa huku jamani
 
Ila ujue hii kazi hakuna aliyeshikiwa fimboo aisee Kwa hiyo wameamua kujitolea waache wamejipanga kufa njaa utake usitake kwani hawajaona tokea primary hadi secondary wanavyoteseka halafu mtu akaenda kuchukua bachelour in education basi waache
Hapana jamani wanatia huruma jamani
 
Hizi threads za Walimu zimeshachosha hapa jf....Agrrrrr!
 
Njaa gani aisee?

Kwani hawalipwi mishahara. Tuacheni sana kuwatilia huruma..

Kuna makundi mengine yana shida kuliko wao.. Bora hata wao wana ajira aiseee
 
Kuna watu wa kuwatetea ila sio walimu....hawa viumbe wana roho mbaya sana.....

Serikali iondoe kwanza walimu vilaza then ndio waboreshe we mazingira hawa walimu wenye elimu za kuunga unga sijui daraja la 111 A wana roho mbaya sana.
Walimu daraja la IIIA๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ