Kwa hakika 29-3 October iliondoka na baadhi ya members wa JF.Mwenyezi Mungu awape pumziko lililo jema, shada la maua ataweka secretarybird
Makamanda wetu walale mahala pema AmenKwa hakika 29-3 October iliondoka na baadhi ya members wa JF.
Naweka shada la maua.
Ndo mimi mwenyeweWapi Maghayo ?
Last seen 2022
We si ndo holoholo@Holoholo yu wapi kijana machachali na mcheshi kabisa hasa kuhusu mada za ngono? Mwenye access nae amsalimie. Cc Mallerina secretarybird SweetyCandy Tate Mkuu
Pole sana kwa kupoteza akaunti yako muhimu ya heshimaNdo mimi mwenyewe
Friends and our Enemies mpaka waraka wa TEC UtokeTHE BIG SHOW kimya sana, wapiga punyeto wamekudaka nini!?
Post yake ya mwisho ilikuwa 4112025, baada ya hapo kimyaaa...!Last seen 2022