Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Mwanza kuna jamaa anaitwa Kitano Chacha, ndiye tajiri mwenye meli nyingi Ziwa Victoria.
 
We' Jamaa acha bangi.
 
Korogwe tanga hivi mcharo bado yupo

Ova
 
Kuitwa tajiri ni kama uwe na mali au pesa kiasi gani kwani? Naomba tu kuuliza kwa aliyeleta mada au kwa anayejua
 
Weka na Chapaulinge, Memba, Tunyande, Andrew Midu, Fresh ya Shamba, Mafegi, Okoa, Sombrero, Safina
Jengela alikua na Horse Ranch kubwa sana wengi mlikua hamjazaliwa.
Nimeenda sana huko kucheza na farasi.
Yule mtu ndio pekee alikua anamiliki farasi Mbeya,
Sijui biashara zake ila hela yake hakua ya kupima.
Ila wengi walikua na migodi Chunya huko.
na misele Zambia,Tunduma walikua wataalam.
Mbembela,Mwailubi,
Tunyande mwanae baadae,
Walikua wamiliki mabus na maduka na majumba.
Mapunda pia alikua vizuri,
wanafuata kina Kibo
Hao jamaa walikua vizuri 80s.
 
Huyo ni tajiri wa zamani sana! Ila kwa sasa sidhani kama anautajiri sana kuzidi wengine hapo Mwanza! Hapo Mwanza kuna akina Baraka wazee wa migodi ndo matajiri kwa sasa!
Hivi huyo baraka na zongii nani ana pesa ?
 
Huko kigoma kuna familia tajiri ya KASAMBALA hii familia ipo toka miaka ya 800 huko hawa ndo wamiliki halali wa kampuni za usafirishaji wa abiria saratoga,nbs,adventure and yehovayire pia wana hisa mwenye kampuni kubwa tz kama vile bakhresa group,metl group,synarge group,lake oil group,oil com group,ansons group eyc
 
Mkuu Mbeya usichukulie poa,

Kuna matajiri wa kutisha ile kanda, Hasa maeneo ya wachimbaji

Watu wana miradi ya mabillion na mabillion na wametulia tuli.

Watu wanapiga pesa kwenye madini sio poa aise
 
Yani kutapeliwa billion 2 akashake kiuchumi then uje kusema angekua number 1 kwa ukanda wote wa kusini ??

Haupo serious, Maana unaushusha hadhi huo ukanda.

Kuna mzee alichukuliwa Billion 26 kule Mbeya enzi za mzee wa chato na yupo fiti mpaka sasa na kasimama maradufu.
 
Iringa...Asas
 
Yani kachukuliwa million elfu 26. Na kutulia tuli hajayumba
 
Mbona mimi hjaniweka? ina maana hujui kuwa mimi ni tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…