chilundu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 347
- 226
Ni Allyen mkuu sio Allien.
Asante
[emoji120].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Allyen mkuu sio Allien.
Asante
Huyo ni tajiri wa zamani sana! Ila kwa sasa sidhani kama anautajiri sana kuzidi wengine hapo Mwanza! Hapo Mwanza kuna akina Baraka wazee wa migodi ndo matajiri kwa sasa!Mwanza kuna jamaa anaitwa Kitano Chacha, ndiye tajiri mwenye meli nyingi Ziwa Victoria.
Dar free market ni ya kishimba aliekwambia ya mhindi alikudanganyaAcha uongo. Dar Free Market ni ya Mhindi.
We' Jamaa acha bangi.ni maskini waliochangamka,, kama huamin ngoja madereva wagome mwezi tu kama hujakaa nae bar za pombe za machicha kupiga komoni siku ukisikia madereva wamegoma we andaa buku tano mpitia abood na shabibi mwende kwenye ulanzi kama hajakushukuru mpaka unakufa
Jengela alikua na Horse Ranch kubwa sana wengi mlikua hamjazaliwa.Weka na Chapaulinge, Memba, Tunyande, Andrew Midu, Fresh ya Shamba, Mafegi, Okoa, Sombrero, Safina
Nawakubali wale mademu tu pale kiwanjaNasoma ana Duka la kawaida Sana hapo mbeya.......
Mimi naona hapo mbeya matajiri wa hardware ni MWALUGAJA wa pale ilomba na MACHEMBA STORE.....
[emoji3][emoji3][emoji3] kataka kuthibitisha anamjua !!!Wewe utaishia kufa maskini,...vitu kama hivi havisemwi
Hivi huyo baraka na zongii nani ana pesa ?Huyo ni tajiri wa zamani sana! Ila kwa sasa sidhani kama anautajiri sana kuzidi wengine hapo Mwanza! Hapo Mwanza kuna akina Baraka wazee wa migodi ndo matajiri kwa sasa!
Mkuu Mbeya usichukulie poa,Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Yani kutapeliwa billion 2 akashake kiuchumi then uje kusema angekua number 1 kwa ukanda wote wa kusini ??2010 nilikuwa dereva wa hayo mabasi na tuliyatoa sauth kupitia border ya mbeya mpaka songea, kuhusu nyumba hata kesho tukienda songea nakuonesha moja baada ya nyingine coz ni mtu wa jiran sana na huyu mwamba namfaham nje ndani kuanzia watoto wake nyumban kwake mkewake nk mpaka chumba anachoifadhia pesa mpaka chakula anachotumia na ni muda gan analala na muda gan anaamka, sio hayo tu mpaka watu waliomtapeli bilion mbili na kusababisha kushake kidogo kiuchumi tuje kwa feo nimefanya kaz kwake hom kwake miaka mi tano namjua nje ndani mpaka hawara zake kwahy ninaposema kitu huwa na udhibitisho navyo
Iringa...AsasCelebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.
Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.
Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani
Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments
SONGEA -
Ottawa - real estate na mabasi
Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.
MBEYA -
Achimwene - tajiri mchimba dhahabu za Chunya, Biashara yake ni mabasi, kila baada ya miezi kadhaa i kawaida kuona kazindua mabasi mapya mjini.
Sauli - Nae ni mchimba dhahabu huko Chunya, Anamiliki mabasi chapa ya Scania.
Machemba - Msambazaji mkubwa wa hardware
Maranatha - Anamiliki chain ya maduka ya madawa na hospitali.
Nasoma - kijana ana duka kubwa la Hardware
Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya
MANYARA
Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
Yani kachukuliwa million elfu 26. Na kutulia tuli hajayumbaYani kutapeliwa billion 2 akashake kiuchumi then uje kusema angekua number 1 kwa ukanda wote wa kusini ??
Haupo serious, Maana unaushusha hadhi huo ukanda.
Kuna mzee alichukuliwa Billion 26 kule Mbeya enzi za mzee wa chato na yupo fiti mpaka sasa na kasimama maradufu.