Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Matajiri wengi sana watz hasa kanda ya ziwa wanautajiri wa kimazingaombwe sana
huyu hatok kanda ya ziwa ni jamaa wa ruvuma nyumbn kwake namabengo ni mzawa ameanza kupambana 1995 akiwakopesa walimu mabati na pikipiki yeye na jamaa mmoja hv wa kuitwa chembele ila huyu sijajua amepotelea wap ila huyu ottawa kaanza kusaka maisha akiwa kijana wa miaka 30 mpaka sasa anamiaka 67 sasa kama ni utajir wa kichawi asingezeeka na utajir wake ni bahili haswa sio mtu wa bata
 
Tudokeze kidogo tu chief! Na wengine waweze kumiliki na kutawala.
hata ukiambiwa hutoweza fanya nakupa tu hesabu ndogo bangi gunia moja ni milion 3 had mbili unusu heka inatoa gunia kumi mara heka 30 junia miatatu wateja wapo hata ukiwa na gunia elfu tatu nakuletea mpaka mlangon ukiuza junia miatatatu kwa milin tatu ni sawa na milion900000000 injinia soma hy ngap hiyo tisin au mia tisa, sasa kuna wana wanafikisha junia elfu tatu wakiuza wanalamba mpaka bilion 80 vp bus ngap hapo kwa msimu au roli ngapi hapo haya nishakupa njia haya toka kimaisha hahaha kama kesho hujawekwa ndani mtaita watu wachawi kumbe wana biashara zao za magendo je unazan kuna mtu atakwambia ishu kama hizi? zaid ya kuambiwa anauza..... je ww kama wewe unaweza kufanya ishu kama vp leo nikikwambia namilik vitu vya bilion5 unaweza niamin hahaha msije mkanifunga acha niwe chawa je nikupe mchongo mwingine mana si wataka nikutobolee siri nina michongo ming had ya matrilion ya pes
 
🙌🙌🙌 Enjoy hela zako bilionea.
 
Huko Mbinga kuna kifaru anaitwa Mdaka naye sio poa...
 
Thread kama hii ilianzishwa kipindi cha jiwe na mtu ambaye lazima alikuwa akikusanya taarifa za watu wa kuvamiwa na kuporwa.
 
Bila shaka wewe ni mkazi wa mbeya, wengi hapo ni matajiri wa mbeya.

Nasoma huyo pia ana lounge yake kali pale mama john.

#taarifa za tajiri muulize maskini.
 
Uchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
 
Dogo mara ya pili hii nakuonya kuwa stori za vijiweni zinakuharibu
 
mama samia kumbe na wewe ni wa mbinga? We bwana ngoja kwanza hivi we mama samia wa kike au wa kiume mana hy jf unaweza ita broo kumbe mgeloo
Mimi sio wa Mbinga ila nina marafiki huko akiwemo Mdaka na familia yake. Hata Mbamba Bay nina marafiki. Mimi ni mwanaume. Hiyo ID ni ya kimkakati kumuunga mkono Mama Samia mwaka 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…