Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ilikua mama moja pisi kali ya Arusha, pepe kalee alifichwa hadi akanyoosha mikono, nadhani bado yupo alikua na mtoto mmoja wa kike aliuliwa na mume wake walikua wakiishi UK
Alishafariki mwaka juzi if I'm not mistaking,
 
Ona wanavyomba omba barabarani si mapenzi yao,si mapenzi yaoooo!!!
Aliekupa wewe ndo kawanyima wao, aliewanyima wao ndio ampekupa wewee!!,..riziki mafungu saaaba dunia duara eeeh! [emoji23]
Hatari sana mkuu, dunia kigeugeu hilooo....Jose Mara alitisha sana humo
 
Nasma hamisi
 
tisha sana mkuu,,shkamoo kila sekundee[emoji95][emoji95]
 
Haha kino nna mji wa kudumu
Bado lazima ni sign huko
Kino imetulea,imetukuza,imetukomaza

Ova
 
Hivi kabila wale wenye Vatican
Yupo haha
Sinza nna wana wengi rip salum fish
Hivi yasin sinza yupo...duh list ndefu
Zamani watoto wa kinondoni wanaweza fanya mipango na wa sinza,magomeni na ilala kidogo
Ila watoto wa tmk kdg kulikuwa na tofauti

Ova
 
Sinza wakina ally ngoti
Naona sahv katulia Hahaha
Ila washkaj zang weng sinza
Walikuwa wezi hahah

Watoto wa sinza ukiwapelekea dili
Hawalali Hahaha

Ova
 
Joseph Kusaga anawazoom tu, hizo ndio fursa zake, utasikia watakuwepo kwenye Fiesta.

Hiyo ndio clouds tupa mawe mwaga nyuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…