Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

nasikia watu wa TRA walikuwa wanamwekea makadirio makubwa sana ya kodi. ikafika time jamaa akashindwa kuendesha biashara yake.

halafu kumbuka lile eneo ni la chama dola(ccm), jamaa alikuwa mpangaji tu. labda ndio maana chini ya utawala ule ilikuwa rahisi kushughulikiwa.

ila wengine wanadai aliyeifilisi villa ni shemeji wa mmiliki wa ile lounge ambaye alikuwa anaisimamia kama meneja(ni mchaga pia).

wanadai jamaa alikuwa halipi kodi huku akimdanganya shemeji mtu kwamba kila kitu kipo sawa. pia wanadai hakuwa na maelewano mazuri na wafanyakazi(ni tetesi lakini).
Ona sasa,kisa ilikufa kipindi cha Magu basi ni yeye kaua.
Miafrika
 
Unaujua ule wimbo
Nimepoteza kipenzi changu hapa tanzaniaaa🎶
Nimepoteza mkanda wa kiuono🎶
Nitarudii kwa Hidayaa🎶 hidayaaa hidayaaa🎶

Unaambiwa Hidaya alikua ni mrembo vibaya sana enzi za uhai wake akiwa kijana
hidaya ana uzi wake mrefu tu humu ndani. jaribu kuutafuta.
 
Nimesoma Comments Baadhi sijamaliza Zote.. Sijaona Akitajwa OKIA JAMES hasa kwenye Nyimbo za FM Academia na Kwa Christian Bella nadhani... Huyu Vipi??
Sijawai msikia Okia ila
Rukia James
Demu mmoja wa kihaya kisu black hivi mjanja mjanja.
Alianza kumwingiza king jamaa mmoja msukuma pedeshee matambala mwanzo kabisa.
Huyo pimbi alikua TRA mstari ukamnyookea baasi mshamba yule hata kuvaa alikua bado sana.
Akatelekeza familia ikawa ni kazi,kuiba haswa baada ya kazi anapeleka kwa rukia.
Kula bata sana
Rukia alikua mdau sana wa band hasa FM Academia,hata kwa Ndanda na Twanga.
Demu akajiongeza akafungua saloon kuubwa.
Ndio wakawa wanamrusha sana.
Yule Mbwiga alipigwa chini TRA na demu akaruka kihunzi next.
 
Young millionaire alikua DJ mzuri sana pale Kinondoni kwenye ukumbi wa Lang'ata social hall akisaidizana na Chriss Phabby,

Kama ni huyo ndio kaongelewa hapo.
Hapa alimmaanisha Mzamiri Katunzi japo muanzilishi wa kujiita Young Millionaire ni Usungu Mbele(DJ) tena jina hilo alianza kujiita akiwa DJ wa Ushirika Club(kwa Madame Maggot) kabla ya kuwa Lang'ata.
Mzamiri Katunzi ni same 'profession' na Msofe, 'mfanya biashara'.
 
Mkuu una maanisha Young Millionaire jina lake halisi lilikua ni hilo Usungu Mbele?
Sikuwahi kujua jina lake halisi.
 
Sijawai msikia Okia ila
Rukia James
Demu mmoja wa kihaya kisu black hivi mjanja mjanja.
Alianza kumwingiza king jamaa mmoja msukuma pedeshee matambala mwanzo kabisa.
Huyo pimbi alikua TRA mstari ukamnyookea baasi mshamba yule hata kuvaa alikua bado sana.
Akatelekeza familia ikawa ni kazi,kuiba haswa baada ya kazi anapeleka kwa rukia.
Kula bata sana
Rukia alikua mdau sana wa band hasa FM Academia,hata kwa Ndanda na Twanga.
Demu akajiongeza akafungua saloon kuubwa.
Ndio wakawa wanamrusha sana.
Yule Mbwiga alipigwa chini TRA na demu akaruka kihunzi next.
smarte_r Karibu hapa...
 
nakubaliana na wewe. sanaa ya kughushi(the art of forgery), imekuwepo kwa karne nyingi,tangu enzi za manabii.

ktk masuala ya spycraft, forgery ni moja ya course inayofundishwa kabisa kwa trainees ambao mwisho wa siku wanakuja kuwa majasusi waliobobea.

kwa mfano pale langley, virginia ktk jengo la makao makuu ya CIA, kuna idara inayofahamika kwa jina la office of technical service(OTS).

moja ya jukumu la hii idara ni kuwatengenezea fake ID's, travelling documents etc maafisa wa CIA wanaoutumwa kwenye operations nje ya taifa la marekani.
Assassination of Mahmoud Al-Mabhouh - Wikipedia Angalia hapo Mossad waliforge passport ngapi ?
 
acha kujipa stress, utapusuka kichwa bure. hili sio jukwaa la siasa.

kuna sehemu nimetaja jina la magu kwenye post yangu?.
Pole mkuu,nimequote vibaya kuna jamaa huko juu alisema Magufuli ndio aliua hiyo biashara.
Yes we umetoa ufafanuzi ni kodi,msimamizi shemeji yake kutolipa vitu akimdanganya mwenyewe kalipa.
kutokuelewana na staff,etc
Thats why nikasema Magu anahusika vp.
Halikua jibu lako.
 
Vyeti vipo mihuri ya moto ipo swala la documents forgery ni pana wengi hawaelewi.

Kwa kifupi ni mtu mshamba tu ndio atapinga mambo ya kufoji kwa sababu hata CIA kwenye oparesheni zao wanatumia I'D fake na passport fake, hata wale makomandoo wa Israel wa Ashkenazi kikosi maalum ndani ya Mossad waliokwenda kumuuwa kiongozi wa Hamas Dubai walitumia passport fake za Sweden kuingia Dubai.
Mashirika makubwa kama hayo uliyoyataja haya wezi kutumia forgery kawasababu Mashirika makubwa yanashirikiana kwenye maswala yaki uhalifu , we unafikiri Mosad, CIA wakitaka passport za nchi yoyote ya Ulaya na Africa, Amerika unadhani watanyimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu,nimequote vibaya kuna jamaa huko juu alisema Magufuli ndio aliua hiyo biashara.
Yes we umetoa ufafanuzi ni kodi,msimamizi shemeji yake kutolipa vitu akimdanganya mwenyewe kalipa.
kutokuelewana na staff,etc
Thats why nikasema Magu anahusika vp.
Halikua jibu lako.

huyo mwehu hata kutotungisha mimba mkewe akifeli mwaka huu atamtaja magufuli.

mpaka nahisi kuna baadhi ya watu magu aliwabaka.
 
Hapa alimmaanisha Mzamiri Katunzi japo muanzilishi wa kujiita Young Millionaire ni Usungu Mbele(DJ) tena jina hilo alianza kujiita akiwa DJ wa Ushirika Club(kwa Madame Maggot) kabla ya kuwa Lang'ata.
Mzamiri Katunzi ni same 'profession' na Msofe, 'mfanya biashara'.
Muzammil young millionea pia,alikua na Rukia Salon mda mrefu tu bata bata tu.
 
Mashirika makubwa kama hayo uliyoyataja haya wezi kutumia forgery kawasababu Mashirika makubwa yanashirikiana kwenye maswala yaki uhalifu , we unafikiri Mosad, CIA wakitaka passport za nchi yoyote ya Ulaya na Africa, Amerika unadhani watanyimwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umebisha kwakuwa unajuwa au unabisha kwa sababu ubishi upo kwenye damu yako?
 
Pole mkuu,nimequote vibaya kuna jamaa huko juu alisema Magufuli ndio aliua hiyo biashara.
Yes we umetoa ufafanuzi ni kodi,msimamizi shemeji yake kutolipa vitu akimdanganya mwenyewe kalipa.
kutokuelewana na staff,etc
Thats why nikasema Magu anahusika vp.
Halikua jibu lako.
.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom