Sijawai msikia Okia ila
Rukia James
Demu mmoja wa kihaya kisu black hivi mjanja mjanja.
Alianza kumwingiza king jamaa mmoja msukuma pedeshee matambala mwanzo kabisa.
Huyo pimbi alikua TRA mstari ukamnyookea baasi mshamba yule hata kuvaa alikua bado sana.
Akatelekeza familia ikawa ni kazi,kuiba haswa baada ya kazi anapeleka kwa rukia.
Kula bata sana
Rukia alikua mdau sana wa band hasa FM Academia,hata kwa Ndanda na Twanga.
Demu akajiongeza akafungua saloon kuubwa.
Ndio wakawa wanamrusha sana.
Yule Mbwiga alipigwa chini TRA na demu akaruka kihunzi next.