Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

hoja yako ni ipi ndg?. unabisha kwamba mashirika makubwa ya ujasusi hayafanyi document forgery au unataka kusema ni nini?.
 
Kuna wimbo wa Akudo nafikiri ni Crazy Love

Utamsikia Bella akilalamika "Okia James Dederiooo"
Pengine ni matamshi lakini hii Okia ninewasikia nayo sana Akudo
 
steve kanakamfumu. bila shaka ni muhaya huyu.

record inaonyesha wahaya wanaongoza kwa kutajwa zaidi kwenye nyimbo za wanamuziki wa rhumba/densi.
Huyo jamaa alikuwa PEDESHEE LA KIHAYA, NYIMBO ZOTE ZA CHRISTIAN BELLA LAZIMA UMSIKIE HADI LEO HII BELLA AKITOA NYIMBO LAZIMA AMTAJE...JAMAA KADUMU AWAMU ZOTE TATU TANGU ENZI ZA MKAPA HADI SAMIA BADO ANATAJWA TU NA WAIMBA BENDI WA BONGO, INGAWA SIJUI MISHE ZAKE
 
pedeshee wa misimu yote [emoji1787][emoji1787]
 
Kweli mkuu Matola. Mimi huu uzi sichangii kwasababu bila kufaulu form six nisingekuja town kabisa 2006.
 
Miaka ya zamani ili uonekane kamili,ngoma ngumu,Shuja
Kwa watoto wa kinondoni lazima uende huko.....ni sawa na kupata chef
Mtaani si heshima na kufagiliwa

Ova
Kuna mdada wa Twanga anaitwa Janet Isinika yuko wapi siku hizi?
 
Janet Isinika yuko wapi?
 
Bro hivi mtu na passport fake anawezaje kuvuka airport wakati kuna fingerprints? Hasa kwenye airport aliyowahi kuvuka na passport OG?
 
Mishen Town tu,walimbabatiza mwisho mwisho hapo akapotezwa mbaya.
Ule ubonge nyanya,kuwa choka mbaya hadi kugongea bia ilikua noma.
Hadi gari ilikua mzigo ikawa kama taxibubu.
Unamtoa mafuta mnapiga misele popote.
 
Mishen Town tu,walimbabatiza mwisho mwisho hapo akapotezwa mbaya.
Ule ubonge nyanya,kuwa choka mbaya hadi kugongea bia ilikua noma.
Hadi gari ilikua mzigo ikawa kama taxibubu.
Unamtoa mafuta mnapiga misele popote.
maisha ni kupanda na kushuka. ni hali ambayo mwanaume yoyote aliyefanikiwa kimaisha ktk kutafuta pesa(kwa njia yoyote ile), anaweza kupitia.

mimi huwa sishangai wala sifurahii ninaposikia fulani ka drop financially. huwa nachukulia hali hiyo kama wake-up call.
 
Bro nimesoma page zote sijaona maelezo. Kama hutajali naomba hata namba ya page
basi upo sahihi, ni kweli huyo dada hajazungumziwa kwenye uzi huu.

nilichanganya jina na wajihi wake na jesca charles.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…