no mkorogomungu Zumaridi before and after.
nothing is impossible under the sun.sheria na kanuni za kidunia zimewekwa na binadamu.Bro hivi mtu na passport fake anawezaje kuvuka airport wakati kuna fingerprints? Hasa kwenye airport aliyowahi kuvuka na passport OG?
Dah!! lilian internet. those days i use to have some crush feelings for her.
ni vile tu nilikuwa sina michongo ya kueleweka, ila ingekuwa miaka hii ya sasa, nisingekubali.[emoji3][emoji3]
kwa sasa amekuwa mdada wa makamo na mama wa familia, nimtakie maisha mema.
Ijumaa moja nenda mawasiliano
Kuna ijumaa mmja nlienda aise
Kulikuwa na watu balaaa...
Twanga pale inajaza
Acha mdgmdg bendi zirudi mkuu
Ova
Rukia James sio Okia
Siku hizi wameadvance wanavusha sembe Kutokea Morocco kwenda Spain kwa kutumia drones za chini ya bahari.nothing is impossible under the sun.sheria na kanuni za kidunia zimewekwa na binadamu.
binadamu huyohuyo hashindwi kuzivunja kama akidhamiria kufanya hivyo.
umewahi kujiuliza inakuwaje mtu anafanikiwa kuvuka airport zenye ulinzi mkali, huku ndani ya begi lake kaficha dawa za kulevya?.
Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?Kwani tako la mchina na tako OG unaligunduwaje?
Hizi picha mbili ni za mtu mmoya mungu Zumaridi.
Labda mrangi anaweza jua lolotebasi upo sahihi, ni kweli huyo dada hajazungumziwa kwenye uzi huu.
nilichanganya jina na wajihi wake na jesca charles.
Licha ya ugumu kdg kwa sasa kuwepoMkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Machine ya finger print,kumbuka imetengenezwa na watu,so kuifanyia manuver ili wafanye mambo yao ni rahisi sana!Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Hadija kimobitelLilian internet, Aisha kimobitel
Upo gizani sana mkuu, watu wana passport mpaka za nchi 3 tofauti.Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Steven ĶakamfumuBrother kuna mtu alikuwa anatajwa Sana hao watu STEVE KALIKAMFUMU
Ni "RUKIA JAMES Tén Déux Liönes"Kuna wimbo wa Akudo nafikiri ni Crazy Love
Utamsikia Bella akilalamika "Okia James Dederiooo"
Pengine ni matamshi lakini hii Okia ninewasikia nayo sana Akudo
Sijawai msikia Okia ila
Rukia James
Demu mmoja wa kihaya kisu black hivi mjanja mjanja.
Alianza kumwingiza king jamaa mmoja msukuma pedeshee matambala mwanzo kabisa.
Huyo pimbi alikua TRA mstari ukamnyookea baasi mshamba yule hata kuvaa alikua bado sana.
Akatelekeza familia ikawa ni kazi,kuiba haswa baada ya kazi anapeleka kwa rukia.
Kula bata sana
Rukia alikua mdau sana wa band hasa FM Academia,hata kwa Ndanda na Twanga.
Demu akajiongeza akafungua saloon kuubwa.
Ndio wakawa wanamrusha sana.
Yule Mbwiga alipigwa chini TRA na demu akaruka kihunzi next.
Rukia James sio Okia
Ni "RUKIA JAMES Tén Déux Liönes"
rukia na okia ni watu wawili tofauti.okia james alikuwa mfanyakazi wa bandari enzi za JK. alipoingia jiwe na ile operation yake ya kusafisha bandarini, operation ikamkumba na okia.
huyu alikuwa ni mtu wa karibu na mmiliki wa FM academia, mzee martin kasianjo(RIP).
inasemekana kwa sasa yupo kwao mbeya.ila financially bado yupo vizuri.
wajuzi watafunguka zaidi.
Ni okia hua namuona mbeya pazuri
Okia ndiyo pedesherukia na okia ni watu wawili tofauti.
rukia james ni mwanamke na okia james ambaye nilikuwa namzunngumzia mimi ni mwanaume.
ni kweli,rukia james ni moja ya jina ambalo lilikuwa common sana kutajwa na wanamuziki wa rhumba. lakini na jina la okia james(mwanaume), naye alitajwa sana.
maelezo yangu hapo juu kuhusu okia james, yanashabihiana kidogo na maelezo ya mdau hapa chini. nilisema kwa sasa okia james anaonekana mitaa ya mbeya.