Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Bro hivi mtu na passport fake anawezaje kuvuka airport wakati kuna fingerprints? Hasa kwenye airport aliyowahi kuvuka na passport OG?
nothing is impossible under the sun.sheria na kanuni za kidunia zimewekwa na binadamu.

binadamu huyohuyo hashindwi kuzivunja kama akidhamiria kufanya hivyo.

umewahi kujiuliza inakuwaje mtu anafanikiwa kuvuka airport zenye ulinzi mkali, huku ndani ya begi lake kaficha dawa za kulevya?.
 
Dah!! lilian internet. those days i use to have some crush feelings for her.

ni vile tu nilikuwa sina michongo ya kueleweka, ila ingekuwa miaka hii ya sasa, nisingekubali.[emoji3][emoji3]

kwa sasa amekuwa mdada wa makamo na mama wa familia, nimtakie maisha mema.

Lilian internet, Aisha kimobitel
 
Ijumaa moja nenda mawasiliano
Kuna ijumaa mmja nlienda aise
Kulikuwa na watu balaaa...
Twanga pale inajaza
Acha mdgmdg bendi zirudi mkuu

Ova

Mawasiliano park pana balaa nikiwa mtaa kila ijumaa sikosi pale.
 
nothing is impossible under the sun.sheria na kanuni za kidunia zimewekwa na binadamu.

binadamu huyohuyo hashindwi kuzivunja kama akidhamiria kufanya hivyo.

umewahi kujiuliza inakuwaje mtu anafanikiwa kuvuka airport zenye ulinzi mkali, huku ndani ya begi lake kaficha dawa za kulevya?.
Siku hizi wameadvance wanavusha sembe Kutokea Morocco kwenda Spain kwa kutumia drones za chini ya bahari.
 
Kwani tako la mchina na tako OG unaligunduwaje?

Hizi picha mbili ni za mtu mmoya mungu Zumaridi.
Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
 
Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Licha ya ugumu kdg kwa sasa kuwepo
Na pass za sahv,lakini mwanadam hashindwi akiamua afanye jambo lake
Na jambo lolote likitaka fanyiwa lazima wahusika fulani wa kitengo hicho wanashirikishwa
Mfano labda watu fulani wanataka kutoka au kuingia Airport au border
Anaweza mtu fulani akawatoa shift fulani nankuwaingiza shift nyingine
Ilimradi watimize azma yao

Ova
 
Papaa Poker mutu ya watu yuko juu kama mawingu! Pedeshee Poker tajiri la JF!
 
Diiih jamaa ana roho ngumu Sana ...mi ndo niwe na kimango vile alaf nimeyavagaa ningehama nchi mazima na jina nabadilisha ...
Bora lawama kuliko fedheha.
 
Mkuu Matola sura sio tatizo. Kumbuka fingerprints kila mtu ana yake. Sasa pale airport kama ulipita mwanzo na passport nyingine si kumbukumbu zipo?
Upo gizani sana mkuu, watu wana passport mpaka za nchi 3 tofauti.

Nadhani hata mkasa uliomkuta Ronaldinho huujui au hujawahi kusikia.

Spain ndio nchi ngumu sana kukatiza na mazabe.

Ili usinichoshe kama una Dstv uwe unaangalia channel 132 CBS Reality itakufunguwa macho kuhusu mengi usiyoyajuwa.

Labda tu kama ulikuwa hujui Marekani ndio sehemu watu wengi wanatumia driving license fake na vibali fake vya kuishi hii ni kazi ya Wanaigeria.

Si kila kitu unafikiri kipo kama unavyofikiri wewe, na cocaine Marekani serikali yenyewe inahusika kuingiza cocaine na wanaicontrol, dunia hii ni zaidi ya uijuwavyo.
 
Sijawai msikia Okia ila
Rukia James
Demu mmoja wa kihaya kisu black hivi mjanja mjanja.
Alianza kumwingiza king jamaa mmoja msukuma pedeshee matambala mwanzo kabisa.
Huyo pimbi alikua TRA mstari ukamnyookea baasi mshamba yule hata kuvaa alikua bado sana.
Akatelekeza familia ikawa ni kazi,kuiba haswa baada ya kazi anapeleka kwa rukia.
Kula bata sana
Rukia alikua mdau sana wa band hasa FM Academia,hata kwa Ndanda na Twanga.
Demu akajiongeza akafungua saloon kuubwa.
Ndio wakawa wanamrusha sana.
Yule Mbwiga alipigwa chini TRA na demu akaruka kihunzi next.
Rukia James sio Okia
Ni "RUKIA JAMES Tén Déux Liönes"
okia james alikuwa mfanyakazi wa bandari enzi za JK. alipoingia jiwe na ile operation yake ya kusafisha bandarini, operation ikamkumba na okia.

huyu alikuwa ni mtu wa karibu na mmiliki wa FM academia, mzee martin kasianjo(RIP).

inasemekana kwa sasa yupo kwao mbeya.ila financially bado yupo vizuri.

wajuzi watafunguka zaidi.
rukia na okia ni watu wawili tofauti.

rukia james ni mwanamke na okia james ambaye nilikuwa namzunngumzia mimi ni mwanaume.

ni kweli,rukia james ni moja ya jina ambalo lilikuwa common sana kutajwa na wanamuziki wa rhumba. lakini na jina la okia james(mwanaume), naye alitajwa sana.

maelezo yangu hapo juu kuhusu okia james, yanashabihiana kidogo na maelezo ya mdau hapa chini. nilisema kwa sasa okia james anaonekana mitaa ya mbeya.
Ni okia hua namuona mbeya pazuri
 
Okia ndiyo pedeshe

Okia James mzee wa shirati

Ova
 
Back
Top Bottom