Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Ikibinda nkoyi ni verse za kuchagizia wimbo aka rap za Allan Mulumba Kashama mstahiki Meya sio kua ninwimbo, tafuta nyimbo za Diamond Sound Banda utakuna na hizo rap.
Aliiga,kibinda nkoyi ya koffi olomide& quartie latie album Magie nyuma huko.
 
nakumbuka aliwahi kuanzisha kampuni ya kijanjanjanja ya kuwafanyia scouting wachezaji wachanga wa mpira hapa bongo. sijui ile kampuni ilifia wapi.

Na kuna yule jamaa kwa jina Kajumulo nae alikuwa na issue kama hizi za mambo ya soccer sijui aliishia wapi nae
 
Mzee malay nlifanya kazi kwake
Za kutumwa hapa na pale upande wa dokomaa....enzi hzo nlikuwa dogo nasoma natafuta pesa
Umenikumbusha aise,alikuwa smart sana ila kuna wakat fulani nlimuona
Alikuwa tofauti nlijisikia vibaya sana

Ova
Kabisa, Mkuu
Umenikumbusha jina lake, yule Mzee alikuwa na akili ya kizungu....na aliwapa Pazi wote mishemishe za clearing and forwrding kwenye kampuni yake
Nyumbani kwake kulikuwa na Half Court ya Basketball, kama Unyamwezeni ukiingia kwake unajiona...
Tulikuwa tunakwenda kwake kucheza kikapu na kina Mazula juniors, na mtoto wa Warioba alikuwa Jahman fulani baadae...
Aliwapeleka Pazi wote US kula bata, nakumbuka tunamsomesha mshikaji maskani, kwamba hii ndio "tiketi" na "safari" yenyewe usirudi, na zaidi alikuwa mkongo na anakitema kweli kifaransa, tunamwambia ukifika huko wewe cholopoka na useme ni mkongo unahitahiji hifadhi yaani kujilipua...
Lakini wapi akarudi na baadae Mzee alivyovuta, Pazi wote chali..........
 
Mzee Malay alifariki lini??sina taarifa kwa kweli
 
Dah hyo mchizi akili zake zilikuwa mgando
 
Baraka kapuya full gospel.....(In christian bella voice)
Diwani chenjaaa.......( In Tx Moshi William voice RIP)
Wemaaa wemaaa........(In Bwebwe voice RIP)
 
Umenikumbusha mwana anaitwa Shaban Kazumba (Shabobo ) mtoto wa Ukonga Mombasa mtu imekwenda hewani kama Hashim Thabeet.
Kwa sasa Shabobo anaishi Ujerumani alishanikaribisha kwenye team yao Humburg German.

Kama mpaka leo Wajerumani watakuwa hawajampa Uraia basi ni zaidi ya makauzu, miaka 24 sasa yupo Germany.
 

Nimewakuta mtandaoni Pazi wakati wamepelekwa US na Mzee Malay
Wajanja wachache walipata connection wakarudi tena majumla , lakini wengi tunasota nao kitaa....




 
hivi ni kweli mboni alizaa na mcheza kandanda maarufu wa west africa, gorge weah/samwel eto?.

hizi habari zilikuwa zinazungumzwa sana miaka yetu ile.
Hapana amezaa na chief kiumbe nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…