Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Jack pemba...karudi kwa kasi naona

Ova
 
Wasanii wetu ni tofauti na wasanii wa hapo Congo, wale ni matajiri kweli na wamejenga majengo ya maana na watoto au wake zao wanaishi ulaya,
Hawa wasanii wetu hua wanaact tuu lakini hawana kitu
Wasanii wa DRC kumbe hauwafahamu, wengi ni choka mbaya na wanaishi kwa kuungaunga sana.
Ambao huwa wanakwenda Europe huwa hata huko wanaishi kwa kuungaunga sana, wakipata pesa huwa cha kwanza ni shopping za nguo na vipodozi. In short huwa hawana maisha ya kueleweka ila wapo exceptional wachache wenye mafanikio.
 
utawala wa mama huu kaka....kila mtu ashinde mechi zake.[emoji16]
Dotto magari namjua vzr sana
Ila haya maisha bana,ukisikia watu
Wanaweza badilika,inawezekana
[emoji1]
Dotto kutoka upiga debe manyanya pale na kuna kitu naweza sema humu
Lakini, hata yeye huwa namsifugi na kumwambiaga ukweli
Unajua dotto alipokuwa mpiga debe alikuwaga teja yaani anatumia madude,ila alijitahidi akatoka huko kwa juhudi zake binafsi na leo hii kama mnavyomuona
Jamaa alikuwa mhuni sana aise
Nakumbuka kuna baharia mmja alituachiaga coaster yake sisi tulikuwa tunaipigia route za posta mwananyamala ,jamaa daily tulikuwa tunazinfuana naye..

Ova
 
Nasma Hamis "Kidogo" RIP
 
maisha yanaenda kasi sana kaka, kutoka kwenye upiga debe wa kwenye daladala, uteja na sasa dalali maarufu wa magari.

ndio maana sisi watoto wa mjini huwa hatudharau mtu. kila tunayekutananae ktk mishe zetu tunampa respect kutokana na hadhi yake, maana huwezi jua kesho na keshokutwa atakuwa nani.
 

wee jamaa sijui ni mtu wa aina gani au ID yako ni ya chama hii???
 
Na aliaacha bila kwenda methodon
Na kwengineko
Yah kudharauliana hakutakiwi
Si unamuona dotto bwana dalali maarufu sahv wa magari
Sema dotto ni muaminifu balaa
Tokea akiwa kwenye mambo yake uaminifu alikuwa nao
Ndomana hata kabla ya kumuona hunu kwenye mitandao aliaminiwa sana na wakina sawe etc

Ova
 
wee jamaa sijui ni mtu wa aina gani au ID yako ni ya chama hii???
hahaha.....kwanini unadhani ID ya mrangi ni ya chama?....chama cha mapinduzi?.....au chama mchezaji wa simba kwa maana ya cleotus chama mwamba wa lusaka? .
 

mimi simfahamu vizuri dotto ila ni shabiki yake mkubwa sana kule instagram na tiktok....yaani huwa najikuta tu nacheka kila ninapotazama video zake.

jamaa ana maneno kama kameza radio. anakwambia tajiri yoyote mchoyo akabidhiwe yeye. atamchekesha, atamsifia,na mwisho wa siku tajiri atatoa hela[emoji16][emoji16][emoji16].
Your browser is not able to display this video.
 
Hahahahah nimecheka kweli

Kumbe watu wamefyatuka zamani sana

Saivi wanamalizia malizia tu[emoji1787]
 
Jamaa hapo kwenye usiri wa mambo yao na social media wamewaweza wa Tz

Sio kwamba hawatumii wanatumia ila kwa majina feki

Hata humu usikute wanawasoma.

Kuna watu huwa hawashobokei hizi mambo za kujipost post.

Mi mwenyewe last time kupost picha yangu online ilikuwa 2013 huko since then huwa sipost sura yangu online Wala mishe zangu.

I live ghostly in social media.[emoji1787]
 
Machawa mkawa mnajuta kuhemea Hela za watu.
 
ni uamuzi sahihi.
 
Timberland Vingunguti.... kwa wanangu.... Afande Kajanja Kawanisa..... Tajiri wa Mbuzi wa kuitwa Samora - RIP...
 
Heeeh,ni Dotto huyu Mpiga debe wa Mwananyamala Manyanya ninaemfahamu mimi au mwingine[emoji134]hakika maisha yanabadilika,nilikimbizana nae sana huyu vichochoro vya Mwananyamala enzi hizo nikiwa M-mwela ili nimkamate na Bangi au Madawa,nilikuwa nikiwakamata wananiachia ganji yangu nawaachia wasepe[emoji1787]hongera kwake kwa kubadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…