ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Duuuh! watu sijui wanazfumania wapi hela?
mrangi namuona hapa jamaa yako jack pemba akimtunza hela ya mboga dalali dotto magari.
nyoshi na kina patcho mwamba wakiona hivi roho inawauma sana maana hizi noti wao ndio walikuwa wanaziokota kutoka kwa mapedeshee enzi zile fm academia ya moto sana.
View attachment 2355849