Ni kweli VIZA yangu kwanza kwenda kwa Kaburu 2004 nilichukulia Masaki, na kulikuwa na Maza Mmoja pale Black Beauty kajaa alikuwa wa "Michongo" sanaMwandishi wa huu uzi alishawataadharisha mapema, kama umri wako hautoshi basi kuwa msomaji tu ujifunze.
Kipindi hicho South africa tulikuwa tunaenda kwa viza lazima uende hapo masaki kuomba viza, supporting documents ilikuwa ni go and return ticket ya Alliance Airways.
Huku HOME ALONE kule TIMBERLAND Vggt ya Samora - tajiri wa MbuziKuna camp ya kuizidi home alone camp na kati ya Kinondoni? mbona hatujaitaja?
Kina Mc Fikirini ndio wadau wa hii camp ilikuwa kila inapopiga Twanga home alone camp lazima waende.
inaonekana nyinyi watu wawili wewe na mrangi mnamjua vizuri sana dotto.Heeeh,ni Dotto huyu Mpiga debe wa Mwananyamala Manyanya ninaemfahamu mimi au mwingine[emoji134]hakika maisha yanabadilika,nilikimbizana nae sana huyu vichochoro vya Mwananyamala enzi hizo nikiwa M-mwela ili nimkamate na Bangi au Madawa,nilikuwa nikiwakamata wananiachia ganji yangu nawaachia wasepe[emoji1787]hongera kwake kwa kubadilika
hahaha.....kwanini unadhani ID ya mrangi ni ya chama?....chama cha mapinduzi?.....au chama mchezaji wa simba kwa maana ya cleotus chama mwamba wa lusaka? .
Maza J alikuwa anatoaga viza za kwa bulu, za michongo, naona kama walimwaga namuona town Kachika fln hv.Ni kweli VIZA yangu kwanza kwenda kwa Kaburu 2004 nilichukulia Masaki, na kulikuwa na Maza Mmoja pale Black Beauty kajaa alikuwa wa "Michongo" sana
hahaha.....mrangi ni bontown, analijiua jiji la dar kiundani. anajua mishe zote za dar (za halali na haramu).jamaa kafika kila sehem,kafanya kila kazi,vibaka wote anawajua,wahuni wankitambo dsm anawajua[emoji15][emoji15][emoji15]
Sikupingi mzee , huyo ni kaka mkubwa nami narespect sana kwake vile anashuka nondo na mambo mengi ya mji wa dasalamhahaha.....mrangi ni bontown, analijiua jiji la dar kiundani. anajua mishe zote za dar (za halali na haramu).
anawajua ma bigfish wote wa dar na michongo yao. anawajua wahuni wote wa dar, yaani ukipigwa kabali halafu ukaporwa simu, mcheki mrangi, simu yako itarudi.
last but not least anazijua neighborhood zote za dar, kuanzia zile wanazoishi washua mpaka zile tunazoishi sie akina kajamba nani.
kiufupi mrangi ni kanzidata inayotembea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa hapa jf,huwa namfananisha mrangi na mzee Mohamed Said vile anavyoijua kariakoo/mzizima na watu wake wa zamani walioishi eneo lile.
Wasanii wa DRC kumbe hauwafahamu, wengi ni choka mbaya na wanaishi kwa kuungaunga sana.
Ambao huwa wanakwenda Europe huwa hata huko wanaishi kwa kuungaunga sana, wakipata pesa huwa cha kwanza ni shopping za nguo na vipodozi. In short huwa hawana maisha ya kueleweka ila wapo exceptional wachache wenye mafanikio.
Sasa hivi yupo huku Mwanza anapiga mishe za kuuza taa za solar!Young millionaire alikua DJ mzuri sana pale Kinondoni kwenye ukumbi wa Lang'ata social hall akisaidizana na Chriss Phabby,
Kama ni huyo ndio kaongelewa hapo.
Wakongo NI kama Toyota Vanguard ambayo ni Sawa na Toyota RAV4 iliyochangamka Tuhonestly wacongo ni wahaya au tuseme ni wajaruo waliochangamka.
wanajipenda sana halafu wanapenda sifa balaa. mkongo akiwa na pesa hataki kuishi kinyonge, atahakikisha jamii yake yote inajua.
Abbott a.k.a. QUICKRACKA Kamla Sana Kajala, tena Kamla Sana mara baada ya kutoka jela, Ila kalifaidi Sana huyu QUICK RACKA tena NI dogo tu aliyezaliwa 1992. Yaani NI dogo WA miaka 30Kajala nmeanza kmjua tokea kanasoma kumbukumbu primary school...
Enzi hzo beach alikuwa na team yake wanasasambua tu,club asset pale wasasasambua sana...
Sema ndy hivyo Ana zali la watu kumzimikia...
Na maisha hya anayapenda ya spotlight .....bata
Kabla ya konde kumbuka aliolewa na smbdy faraji yule jamaa aliyekuwa na issue ya benki...na kilichomkuta nafikiri unakikumbuka...
Ova
Aise,nilisikia huu msibaa legend, a brother, mtoto wa mjini, borntown, mwana dar es salaam has gone. rest in peace moody mas.
watoto wa mjini bila shaka mnamkumbuka vizuri huyu brother. alikuwa anashinda sana mitaa ya somora. pia walikuwa na duka lao la nguo jirani na jm mall.
ni msiba uliogusa hisia za wengi hususani watoto wa mjini wa ile generation iliyosumbua sana mitaa ya samora avenue na mkwepu street.
copy to mrangi and others.
View attachment 2363142
Dah hii poa sana wanakuambia watu wote wa zamani 😄 na wana nuru usoni ikionesha hawako vibayaAise na kulikuwa na huu msiba
Kuna mwamba anaitwa Abdul bagdera, baharia fulani alifia nje
Aliletwa kuzikwa kisutu
Huu msiba ulikuwa na watoto wa mjini
Wengi wa zamani
Ova
View attachment 2363158
[emoji1] wengi hapo walikuwa mbele wamerudiDah hii poa sana wanakuambia watu wote wa zamani [emoji1] na wana nuru usoni ikionesha hawako vibaya
katika huo msiba, marehemu moody mas pia alikuwepo, ni kama alijipeleka kwenda kuagana na marafiki zake.Aise na kulikuwa na huu msiba
Kuna mwamba anaitwa Abdul bagdera, baharia fulani alifia nje
Aliletwa kuzikwa kisutu
Huu msiba ulikuwa na watoto wa mjini
Wengi wa zamani
Ova
View attachment 2363158
iddi majid nimemkumbuka.Abduli toll , mwamedi kiluwa ,idi paa kapandisha ,mama asha baraka , fundi kila family , papa Junior mzee ya kimala,profesa maji marefu, idi majid raisi wa mtogole ,alida trans, edita kisaka na wengine wengi aisee ukisikiliza raha sana