Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

kuna mshikajiwangu pale Arusha alikuwa anatoka na mtoto madam Hidaya pia amenithibitishia hili shauri la pepe kale kumuimba hidaya!!!! RIP PEPE KALE , MADAM HIDAYA NA BINTI AKE.
 
kuna mshikajiwangu pale Arusha alikuwa anatoka na mtoto madam Hidaya pia amenithibitishia hili shauri la pepe kale kumuimba hidaya!!!! RIP PEPE KALE , MADAM HIDAYA NA BINTI AKE.
Nimeuliza swali kwanini Pepe Kale katika mashairi yake alisema angerudi Dar, Mwanza, Arusha na Morogoro wakati anajua fika Hidaya yuko Arusha? Mbona hamtoi majibu hapo.
 
Nimeuliza swali kwanini Pepe Kale katika mashairi yake alisema angerudi Dar, Mwanza, Arusha na Morogoro wakati anajua fika Hidaya yuko Arusha? Mbona hamtoi majibu hapo.
Sababu main idea ni kwamba amepoteza kipenzi chake nchini Tanzania ila hajui exactly wapi alipo huyo "mukanda ya kiuno" hivo ana guess mikoa ambapo atakuwepo,japo in reality alijua ni Arusha
Hivo ingekuwa ni Movie tungesema ni dramatic purpose tu Mkuu, alifanya kutaja hiyo mikoa ili iendane na story amepoteza kipenzi chake

Lakini pia ni kawaida ya wacongo kutaja majina ya miji for no reason ,mfano, mbilia bel kwenye Nakey Nairobi anataja "Nakuru,kisumu "
 
Tajiri mpya mkuu, kama chacho mbala kashogi.
tchatcho mbala sio mpya katika mapedeshee wa kikongo.jamaa ni old timer, jina lake limeanza kutajwa kitambo sana.

katika album ya wenge musica iitwayo Pleins Feux iliyotoka mwaka 1996, ndani yake kuna wimbo maalum wenye title ya tchacho mbala.

katika album ya kwanza ya fally iliyotoka mwaka 2006 iitwayo Droit Chemin, ndani yake utasikia jina la tchatcho linatajwa.

biashara yake kubwa ni almasi na dhahabu iliyotokana kupitia ukaribu wake na marehemu jonas savimbi.
 
Kushoto kushuka chini kidogo kulikuwa na duka la makoba hivi huyu jamaa bado yupo maduka yake siyaoni [emoji16] maana nina mtisheti wake hapa mmoja haujawahi kunitosha hadi leo
hahaha....nakumbuka alikuwa na duka mitaa ya posta jirani na round about ya azam take away.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…