kuna mshikajiwangu pale Arusha alikuwa anatoka na mtoto madam Hidaya pia amenithibitishia hili shauri la pepe kale kumuimba hidaya!!!! RIP PEPE KALE , MADAM HIDAYA NA BINTI AKE.Umeanza lini kuwaamini wachambuzi mchongo wa Bongo? Huyo Hidaya wa Arusha alijichomeka kukimbilia fursa. Hebu jiulize kama alikuwa anajua Hidaya mwenyewe yuko Arusha, why amtafute Morogoro, Mwanza na Arusha? Ile sanaa, na pale alitumia fasihi kufikisha ujumbe kwa mapokezi aliyoyapata. Kiukweli Pepe Kale, Boziboziana na Kanda Bongo Man walipata mapokezi yasiyo kifani.