Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

Unaambiwa Koffi Olomide kwake kuna petrol station yaan mafuta anaweka kwake, Fall Ipupa tajiri, Inos B kaanza juzi ila ni tajiri na fabrigas nae ni tajiri,
Familia zao zote zipo ulaya,
wanamuziki wakubwa wa african francophone countries wapo vizuri sana kiuchumi.

wale mapedeshee wanaowataja kwenye nyimbo zao akina didi kiunuani, chatcho mbala na kadhalika, ni matajiri wakubwa sana, wanachangia kwa sehemu kubwa katika kuwatajirisha wanamuziki kupitia pesa wanazolipa ili majina yao yatajwe kwenye nyimbo.
 
Hata hivyo uchumi wa Congo pia unachangia, fikiria show moja kiingilio kinafika mpk Usd 300, na mtu anajaza uwanja,
 
Uchumi wa Congo ni mzuri kuliko wa bongo??? Are you sure??? Unajua jinsi wanavyocalculate uchumi wa nchi??? Au uchumi wa kijiweni ndio unaouzungumzia??? Akili tu ya wasanii mie naona wacongo wamepevuka zaidi kuliko wabongo. Pesa alionayo Diamond anawazidi baadhi ya wanamuziki wa Congo alitakiwa ajiweke vizuri na mamtoni pia sio bongo tu.
 
uchumi ni namba tu ndugu,uhalisia ground nao una picha tofauti kabisa.

congo ya upande wa kaskazini ni congo ya tofauti kabisa na unayoifikiria.
 
Hayo maneno ya vijiweni sio ya Great Thinkers..... Uchumi ni namba na ndio maana watu wanaenda kusomea hadi PhD. sasa wewe jidanganye na maneno ya kijiweni tu..hao wa kaskazini wenye pesa hawazidi 100 haahaaaha.
 
sisi tunakwambia vitu serious kati ya matajiri 10 wa kwanza duniani yupi kati yao ana PHD ya uchumi???

ginimbi alikuwa ni raia wa nchi iliyozama kiuchumi yaani zimbabwe,unajua alikuwa na ukwasi kiasi gani???ukiachana na theories zile zinazoandika zimbabwe ilikuwa imeanguka.
 
Unachanganya madesa wewe !! uchumi na utajiri wapi na wapi??? nimegundua shule yako ndogo na una vinasaba vya stories za vijiweni...hayaa sasa endelea kuwadanganya wajinga kama wewe...mlaani sana baba yako kwa kutokupeleka skuli ukatoe tongotongo. ...huu ni uzi wa mapedeshee wa zamani sio wa ujinga unaotuletea hapa... I'm out.
 
mwanumuziki maarufu wa congo jb mpiana akipata msosi na baadhi ya rafiki zake.

huyo mwenye muonekano kama mpemba ni patrick bologna ambaye pia ni mwanasiasa maarufu nchini humo. jina lake huwa linatajwa sana na wanamuziki wa congo. kwa wale wanaofatilia mziki wa rhumba bila shaka wamelisikia.

mama yake ana asili ya itali na baba yake ana asili ya congo, mke wake ni ndugu wa damu na mke wa aliyewahi kuwa rais wa nchi huyo ndg. joseph kabila.
 
Kajala,Rose,Joan wa lyumba [emoji1]

Ova
kaka mrangi kuna comment moja ulikuwa unazungumzia muanzilishi wa biashara ya kuuza mihogo pande za coco beach, oysterbay.

sioni ile comment, sijui umeifuta.nilitaka nijazie nyama kuhusu kisa kimoja cha zamani maeneo ya oysterbay.
 
wale wasiomfahamu pedeshee maarufu wa congo na mfanyabiashara tajiri Tchatcho Mbala Kashogi, ndio huyu sasa.

hii video imerekodiwa siku za hivi karibuni,hapa yupo na Koffi Olomide nje ya jumba lake jijini Kinshasa.

katika wimbo wa fally ipupa unaokwenda kwa tittle ya associe, fally anaanza kwa kutaja jina la Tchatcho Mbala. basi Tchatcho mwenyewe ndio huyu sasa.

mcheki kwenye video
 
kaka mrangi kuna comment moja ulikuwa unazungumzia muanzilishi wa biashara ya kuuza mihogo pande za coco beach, oysterbay.

sioni ile comment, sijui umeifuta.nilitaka nijazie nyama kuhusu kisa kimoja cha zamani maeneo ya oysterbay.
Mzee masharubu alikuwa anaitwa

Alikuwa anauziaga pale mbuyuni primary shule na alikuwa anaishi pale St Peters kulikuwa na kijumba
Na jioni alikuwa anaondoka na familia yake kwenda coco kuuza mihogo

Kuna siku nlikaa sehemu napiga vyombo wakaja jamaa wa media sjui clouds wale kuna mmja namjua na wakawa wanazungumzia mambo ya mihogo,ndy nkawambia nyie mnajua historia ya mihogo coco lakini

Ova
 
Unajua wacongo ni watu wa kupenda sifa na kujikweza, ,kiingilio kama hicho cha bei kuvwa ndio wanataka ukieeka kiingilio kidogo hawaendi
honestly wacongo ni wahaya au tuseme ni wajaruo waliochangamka.

wanajipenda sana halafu wanapenda sifa balaa. mkongo akiwa na pesa hataki kuishi kinyonge, atahakikisha jamii yake yote inajua.
 
Mzee masharubu alikuwa anaitwa

Alikuwa anauziaga pale mbuyuni primary shule na alikuwa anaishi pale St Peters kulikuwa na kijumba
Na jioni alikuwa anaondoka na familia yake kwenda coco kuuza mihogo

Kuna siku nlikaa sehemu napiga vyombo wakaja jamaa wa media sjui clouds wale kuna mmja namjua na wakawa wanazungumzia mambo ya mihogo,ndy nkawambia nyie mnajua historia ya mihogo coco lakini

Ova
ilikuwa ni siku ya jumamosi mwaka 1997 nikiwa kidato cha pili ktk secondary fulani maarufu jijini dar.

tulikuwa tunaishi mitaa ya chang'ombe maduka mawili, jirani na uwanja wa TCC club(siku hizi panaitwa gwambina lounge).

mida ya saa moja jioni, mimi,mshua, bmkubwa na ndugu wengine wawili wa familia tukaingia kwenye landrover defender la pale home. mshua akiwa kwenye usukani tukaanza safari ya kuelekea oysterbay kwenye harusi ya ndugu yetu.

sikumbuki jina la ukumbi,ila ninachojua ulikuwa mkono wa kushoto, kilomita chache mbele baada ya kushuka kilima nyege.

kipindi hicho mziki wa hip-hop hapa tz ndio ulikuwa unaanza kukamata akili za marika mbalimbali ya vijana, mimi nikiwemo.

moja ya kundi lililokuwa linatamba sana ni kundi la Kwanza Unit. asilimia kubwa ya waasisi wa hili kundi walikuwa ni watoto wa kishua, halafu base yao muda mwingi ilikuwa mitaa ya Oystebay.

baadhi ya video zao zilikuwa zinarushwa sana ITV(enzi zetu za analogia, enzi za mikanda ya VHS).

katika kundi hili mwanahiphop ambaye nyota yake ilikuwa tayari imeshaanza kuchomoza alikuwa ni marehemu Robert Mwingira aka D. Rob. ofcourse nilikuwa namu admire sana, jamaa alikuwa na style ya pekee ya kunata na beat.

sasa tukiwa pale ukumbini, mshua akanitambulisha kwa baadhi ya ndugu waliohudhuria ile sherehe ya harusi.

moja ya ndg. wa familia ambao mshua alinitambulisha ni marehemu D. Rob. akaniambia Baba yake yeye na Baba yake Robert ni ndugu, wote ni wangoni wenye asili ya huko Mbinga, Ruvuma.

nikawa so excited kukutana na mtu ambaye namu-admire, jamaa alikuwa so charming, mda wote ana furaha halafu mnyamwezi ile mbaya, ana kipini puani kama 2pac, kavaa mavazi kama wanayovaa vijana weusi wa mitaa ya queen's bridge, si unajua tena mapigo ya watoto wa kishua wa miaka ile.

those days Baba yake D. Rob(marehemu mzee mwingira) alikuwa ni ofisa mkubwa serikalini, makazi yao yalikuwa ni mitaa ya Oystebay.

nikiwa pale ukumbini nikawa najiweka karibu na D.Rob ili nipiginae story. halafu washkaji zake kama wanne hivi waliokuja pale ukumbini, walikuwa na swagger kama yeye, kuanzia mavazi mpaka uzungumzaji.

jamaa walikuwa wanaongea kingereza chenye lafudhi ya wamarekani weusi. nikawa naenjoy tu kuwasikiliza, utoto bhana, acha tu[emoji16]

siku hiyo D. Rob alikuwa kagandana na binti fulani wa kizungu, baadae nikaja kuambiwa ni mchumba wake.

inasemakana huyu binti wa kizungu alikuwa ni mtoto wa balozi(sijui wa canada, sina uhakika). wahenga wenzangu ambao walikuwa karibu na circle ya D. Rob mnaweza kujazia nyama kuhusu huyu manzi wa kizungu.
 
D.ROB RIP nlikuwa nacheza naye sana pool Q bar na mambo club enzi hizo
Kweli jamaa alikuwa charming sana

Hivi kolumba mwingira na drob walikuwa wana undugu

mrangi namuona hapa jamaa yako jack pemba akimtunza hela ya mboga dalali dotto magari.

ally choki, nyoshi na kina patcho mwamba wakiona hivi roho inawauma sana maana hizi noti wao ndio walikuwa wanaziokota kutoka kwa mapedeshee enzi zile mziki wa dansi upo juu kwenye chati.
 
Back
Top Bottom