FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 871
- 1,084
We sijui mshamba wa wapi, nenda Njombe kuna wakinga wana mashamba ya miti wanamiliki pesa ndefu na dar hawajagfikaMkuu hao wenye maisha bora mkoani still lazima wamewahi kuja dar.
Akuuuuuuh mie siwez...........Njoo kwa nauli yako nitakutembeza.
Asante na pole sana kwa kulichukia jiji murua la dar es salaam.Sawa mkuuu,,,, na ongera yako kwa kuishi DASALAMAA ,,, ila Mimi ki-binafsi yangu hakuna mahala/jiji silipendi kama DASALAMAA....
X100 nikaishi mkoa wowote ndani TZ hii lakini sio kwa DASALAMAA.....
Wapo busy kuzikandia lindi na mtwara!Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
Watu wa dar wengi matapeli nifike ubungo usipokee sim akuYaani ukija mie nagharamia siku kumi za kuwa dar.
[emoji16][emoji16] ni kweli mkuu, ila Mwanza dah acha iitwe tu Mwanza, ukitaka kunihamisha labda unipeleke Toronto Canada naweza kukuskilizaUkiwa unatokea mwanza na kanda hiyo kwa ujumla lazima ushamba ukukimbize dar.
Jambo zuri kupenda kwenu ila usiache kuja kuosha macho dar.🤣[emoji16][emoji16] ni kweli mkuu, ila Mwanza dah acha iitwe tu Mwanza, ukitaka kunihamisha labda unipeleke Toronto Canada naweza kukuskiliza
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aah shekilango napasikia.....huko mbezi ni mbezi Louis au mbezi mwishoNitakupokea, usiogope 🤣🤣🤣🤣 Siku hizi unafikia mbezi au shekilango.
Hapo ndio nmeelewa........na Le Mareheb ipo masaki si ndioMbezi Louis ndio mbezi mwisho yenyewe.
Kwani dar ni mbinguni? Joto kama tanuruHawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.