Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Njoo tuongeze ukooKila la kheri
Fanya issue zingineNjoo tuongeze ukoo
Michezo hiyo unalomfanyia ndo alokufanyia.Utakuja kushuhudia hapaNimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Kama zipi?Fanya issue zingine
Sisi ni wazee tayariMichezo hiyo unalomfanyia ndo alokufanyia.Utakuja kushuhudia hapa
Wooiii Sawa bro ...Mimi kama wifi kwa michepuko yako yote nasema endelea kufanya mazoezi kupitia sehem nyetiSisi ni wazee tayari
Biashara Mf: kutembeza kawaha town na kashataKama zipi?
Mali zote anamiliki yeyeKama unaweza kumfanyia rafiki yako mabaya wewe sio mtu salama kwa yeyote.
Dunia ni sehemu ya furaha, haiitaji stressWooiii Sawa bro ...Mimi kama wifi kwa michepuko yako yote nasema endelea kufanya mazoezi kupitia sehem nyeti
Neno la Mzee naliheshimu sanaNimemfanya mke wangu kuwa kama rafiki, muda wote tukionana ni kucheka, kutaniana, kucheza michezo ya kukimbizana hapa na pale.
Na kuna wakati mwingine ananitania, ''nikutafutie demu mkali umchape''?
Namjibu, nakupenda tu wewe unayenifanya niendelee kupumua.
Ata kama nikiwa na safari za kuamka saa 11 asubuhi, ataamka na kuniandalia nguo, chai na atanisindikiza.
Ikitokea nipo mbali, uchumi ukatetereka na nikamwambia niwekee kiasi fulani, yeye anachukua hatua na wala haniulizi naenda kufanyia nini.
Tuwafanye wake zetu kuwa marafiki ata kama tunachepuka.
Jumapili njema wakuu, karibuni tupate mbege tamu hapa kwa kimario.
Ndio maana katika kuoa upaswa uchague pisi matata , maini matupu, hayo mambo ya kujiokotea bora liende ndio maana mnachepuka bwasheeAcha basi mangiii,
Unadhani kuishi na mwanamke mmoja tu ni rahisi eenh!!
Muhimu tupate hela, njoo chap tufanye.Biashara Mf: kutembeza kawaha town na kashata
Lifanyie kazi na uliishiNeno la Mzee naliheshimu sana
Anaweza kuwa maini ila shoo zikawa mbovuNdio maana katika kuoa upaswa uchagua pisi matata , maini matupu, hayo mambo ya kujiokotea bora liende ndio maana mnachepuka bwashee
Mimi Myebusi haya ndio maisha yangu, lakini akikwambia nikutafutie Mtoto mkali unafanya kweli patachimbika🤣🤣Lifanyie kazi na uliishi
Unanichokoza eeh?Muhimu tupate hela, njoo chap tufanye.
Unazingua sana mangi, uaminifu wa mwanaume haupimwi kwa kuchagua pisi matata, maini na mazaga....Ndio maana katika kuoa upaswa uchagua pisi matata , maini matupu, hayo mambo ya kujiokotea bora liende ndio maana mnachepuka bwashee
Uongo, Nyumbani Nina wake wawili wakali Sana hata Wewe hujawahi kuwapatia kwenye maisha yako na bado nachapa manzi nyingine umenianbia hata nikiwa na wake 10 yenyewe itakuwa ya 11 haina shidaNdio maana katika kuoa upaswa uchagua pisi matata , maini matupu, hayo mambo ya kujiokotea bora liende ndio maana mnachepuka bwashee
Bwashee wachepukaji wengi wamejiokotea bora liende , mtu mwenye mke mchepukaji lazima mke wake awe pwagu na pwaguzi Bwashee, chunguza.Unazingua sana mangi, uaminifu wa mwanaume haupimwi kwa kuchagua pisi matata, maini na mazaga....
....uaminifu ni maamuzi ya dhati toka moyoni, usipofanya hivyo hata umuoe malaika utatafuta kazi za pembeni tu