Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
picha ya viatu vya ally choki tafadhali 🤣Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk
Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa umaarufu.
Ali Choki mzee wa farasi. Huyu alikuwa maarufu mpaka kuna viatu vikapewa jina lake.
Staa yupi unamkumbuka zaidi?
Mimi mzee wa bange.Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk
Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa umaarufu.
Ali Choki mzee wa farasi. Huyu alikuwa maarufu mpaka kuna viatu vikapewa jina lake.
Staa yupi unamkumbuka zaidi?
Mimi mzee wa bange.
nafichaaa ah ah nafichaaa nafichaaa yale ninayo yaonaaaa 🔥🔥🔥🔥
Leo ndio nimejua TAKEU ilimaanisha hivo...🤦🤦Mr Nice mzee wa TAKEU (Tanzania, Kenya na Uganda).
Hukuna star zaidi ya huyu mwamba aliyewahi tamba Afrika mashariki na kati
Alafu hii neno TAKEU ingekua brand kama jamaa angejiongeza kibiashara asieeh angepiga hela.. angefungua kitu au kampuni yenye vitu vingi na angecover hayo maeneo ya Tanzania, Kenya, Uganda...! Sema ndo hivo wakati ni ukuta saa nyingineHuwezi amini leo ndio ninajua kirefu na maana ya TAKEU