Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Alfred Gewe....alikuwa kamanda/kamishna wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni nadhani.
Huwa namkubali sana huyu baba toka nasoma mpaka napata akili za ukubwani

Sijui baada ya kustaafu yu wapi kwa sasa.
Alinishawishi nipende kujiunga na kazi ya uaskari, ila ndio hivo sikubahatika kwenda mafunzoni.
Alikuwa role model wangu kutoka moyoni kabisa.
Mara ya mwisho nlimuona tabata....yupo anakula mafao
 
mrisho ngasa
musa mgosi
haruna moshi
dany mrwanda
nico nyagawa
henry joseph
nsajigwa
amir maftah
amri kiemba
 
Elly rongomba mtoto jobiso kibakuli pia kumbuka ze comedy show ya kina joti masnja nk
 
Angel akilimali , sakina abdul masud , sigol paul , mpakigwa fredy, wako wap sijui , kutoka uhuru fm ,redio yangu bora kabisa kwa wakat huo pamoja na rfa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom