Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Dr Liky Abdallah

Marehemu Dj Steve B

Iddi Kipingu

Abdallah Majura (mzee wa chemsha bongo)

Steven Mashishanga

Kelvin Twissa
Abdallah Majura jina kubwa sana enzi hizo

Kanali Kipingu enzi za Makongo daah

Mashishanga RC enzi hizo
 
Waridi yupo kwenye jua kali siku hizi
1. Bishanga bashaija
2.Max( na zembwela)
3.K. basil
4.Juma Kaseja
4.Chief Kumbe
5.Waridi(mambo hayo)
6.John Kaduma(Tabasamu)
7.Erick Shigongo(president loves my wife)
8.Atakalo Siko(katuni za ustake ncheke, kasheshe)
9.TID(zeze, siku kama hizi, malaika)
10.Christopher Mtikila na Mchungaji Kakobe na Moses Kulola
a
 
Nikiwa form 1 / 2, nilikua na daftari langu shulen nimelijaradia kwa transparent cover halaf huko ndani ya cover nimejaza picha za GK tu na east coast.

Kwa nje lilikua ni kama gallery ya east coast.
 
Nikiwa form 1 / 2, nilikua na daftari langu shulen nimelijaradia kwa transparent cover halaf huko ndani ya cover nimejaza picha za GK tu na east coast.

Kwa nje lilikua ni kama gallery ya east coast.

Mkuu, umenikumbusha bro mmoja wa kuitwa Wampayo, tulikuwa naye A-level fulani, yeye akiwa six, mimi five. Huyu mwamba alikuwa the biggest fan wa East coast pale skonga hadi nowma! 😎

-Kaveli-
 
Nikiwa form 1 / 2, nilikua na daftari langu shulen nimelijaradia kwa transparent cover halaf huko ndani ya cover nimejaza picha za GK tu na east coast.

Kwa nje lilikua ni kama gallery ya east coast.
Sauti ya Manka
Naisikia nikilala inajirudiad
Kichwani mwangu haijapotea
 
Alfred Gewe....alikuwa kamanda/kamishna wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni nadhani.
Huwa namkubali sana huyu baba toka nasoma mpaka napata akili za ukubwani

Sijui baada ya kustaafu yu wapi kwa sasa.
Alinishawishi nipende kujiunga na kazi ya uaskari, ila ndio hivo sikubahatika kwenda mafunzoni.
Alikuwa role model wangu kutoka moyoni kabisa.
RPC wa Dar ...yupo segerea ...njia panda kwenda gerezani pale kushoto koote kwake pale...atakuwepo mitaa ile na arusha umri umesonga.....historia yake polisi wachache kuanzia private to RPC....sawa na Yule Tyson wa Moro alikuwaga IGP.....ngunguliii.....nae alisota sanaaa...Mahita
 
Asante sana mkuu.
Nilikuwa nampenda sana yule baba.
Thanks
 
Back
Top Bottom