Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Nadhani,
1. Banza Stone
2. Muumin Mwinjuma
3. Mike T
4. Mr Paul
5. Mad Ice
6. Bwana Misosi
7. Kali P
8. Nora (Nuru Nasoro)
9. Nina
10. Sinta

Ova
 
Nadhani,
1. Banza Stone
2. Muumin Mwinjuma
3. Mike T
4. Mr Paul
5. Mad Ice
6. Bwana Misosi
7. Kali P
8. Nora (Nuru Nasoro)
9. Nina
10. Sinta

Ova
B… hivi unajua huyo namba 1 wako hapo ndio mwanamuziki wangu bora wa dansi wa muda wote? Alijaaliwa kipaji kikubwa sana cha utunzi na uimbaji.
Siku aliyofariki nililia mno, mara nyingi namuombea apumzike kwa amani.

Wimbo wake bora zaidi kwangu ni elimu ya mjinga, ukifuatiwa na mtaji wa masikini.
R.I.P Banza
 
Alikuwa ni mtu na nusu. Na alikuwa mkali wa kuupanga muziki.

Ova
 
Alifanya mageuzi makubwa sana katika muziki wa dansi mwanzoni mwa miaka ya 2000! Apumzike kwa amani
 
Robert Hega Katapela, Amigolas, Abuu Semhando, Adolf Mbinga, Thabit Mtoto wa Ilala, Lilian Internet,
 
Marlow Bembeleza, Busu la pinky, Mb dogi, Jide, professor Jay. Nlikua nikikaa mwenyew naimba kama msanii kweli.
 
Alienda kwao alikuwa anajihusisha na ufugaji, generally enzi za TZR ilikuwa balaa

Ova
 
daaah yan upo kama mimi huyo mwamba hakuwahi kuwa na kaz mbaya nymbo zake zote n kali sn....huyo mwamba ndiye aliinua twanga pepeta hao akna ally choki walikuta twanga tyr ipo juu wakaptia humo, jamaa alikuwa na kpaji sn BANZA STONE.
 
Madawa tu yalimpoteza

Alikuwaga na yule smbdy diouf

Naye madawa yalimpeleka sema alifanya vyema kukimbia nchini to ulaya

Ova
 
Huu uzi ni waki-TBT kama ulivyokuja jana.

Wengine:

David Mwaibula

Marehemu Sheikh Yahya Hussein

Zakary Kakobe

Merey Balhabou

Frank Mtao
Longtime sana tulikuwa tunaendaga kuangalia sinema kwa sheh yahaya
Pale nyumbani kwake mkwajuni
Nakumbuka ndani alikuwana matv makubwa sana ya chogo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…