Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

Tuwaombee Diaspora (undocumented) wanapakiwa kwenye madege ya kesho kurejeshwa kwao

Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya jeshi na kuwarejesha makwao. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
Sio diaspora wote wanarudishwa, wale wenye proper documentation halito wahusu. Na wale ambao legaly walisha badili uraia
 
Back
Top Bottom